Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

Pole Sana Mkuu ,Ila jaribu kutazama mwenendo wako hasa Kama wewe ni KE
Washampasua mabaharia kibao hana noma ila saivi ndio yupo kwenye edge ya kufanya massive changes ndio mana kajitafutia jamaake ambaye hajui background yake anataka wafanye maisha, atabadilika fully kuna msema wajamaica wanasemaga "one one coco full backet" wakimaanisha utafanikiwa tu japokuwa progress ni taratibu
 
Pole sana pombe sio chai.
Hapo ungekuwa na mumeo na wanao mmepumzika.
 
Washampasua mabaharia kibao hana noma ila saivi ndio yupo kwenye edge ya kufanya massive changes ndio mana kajitafutia jamaake ambaye hajui background yake anataka wafanye maisha, atabadilika fully kuna msema wajamaica wanasemaga "one one coco full backet" wakimaanisha utafanikiwa tu japokuwa progress ni taratibu
Hakika mkuu upo sahihi
 
Back
Top Bottom