Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

Hakika mkuu upo sahihi
Me ujue nampenda mtu msema ukweli, kuna dada nliwah kuwa napiga nae stori na ni mzuri, nikamuuliza kimasihara we umewah kupasuliwa na watu wangapi? Akasema 20+ na kaniambia wadada wengi wa town ukiwauliza amewah kuwa na wangapi atakwambia wawili wewe wa tatu, wengi wao wanadanganya, wadada wa mjini wengi wametumika ila hawawez kusema ukweli....
 
Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.

Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine lakini la ofisini kwao, sasa mimi nilikaa nyuma kwa hapa upande wa dereva huku kwa dereva kulikuwa na kijana mmoja na dereva, lile gari jingine alipanda mama na mumewe, hawa ni wazazi wa kijana mmoja tuliyekuja nae.

Huyu dereva wetu, ambaye mwenye hii gari ya ofisini kwao alikuwa anaendesha kwa spidi sana, wale niliokaa nao nyuma walikuwa wanamwambia aendelee kupaisha wamechoka kuishi hata wakifa basi, hii ni akili ya pombe ilikuwa. Mimi hapo muda huu moyo wangu haukuwa na amani kabisa.

Yaani gari ilikuwa inatembea kama inapaa😢😢 kufikia pale round about ya mbezi kwenye zile njia za kwenda kinyerezi na kwingineko mbele yetu likatokea fuso limeovateki bajaji kwahiyo likawa linakuja upande wetu na liko spidi ya hatari, aisee hapa nilikiona kifo hiki hapa mbele yetu.

Katika kulikwepa gari dereva akapeleka gari mtaroni, hapa pongezi kwake dereva bila hivyo tulikuwa tunaenda kugonga fuso uso kwa uso. Ilikuwa kama movie hii, kwanza pombe zote ziliisha kichwani, sijaamini mpaka dakika hii kama nimeweza kutoka salama pale, aliyeumia ni mmoja shingoni tu, na gari ndiyo imepata hitilafu. Hili ni jambo la kumshukuru Mungu sana sasa hivi sijui ningekuwa nimekufa au nimeumia. Sina la zaidi ya kusema zaidi ya kumshukuru Mungu.

Nimepata funzo kubwa kuhusu hii ajali hakika nitaendelea kumtukuza Mungu. Pombe siyo nzuri kabisa😢🙌

Muwe na jumapili njema wakuu.
Sasa ndugu kwa kuwa mlikuwa mnasema mmechoka kuishi hamwoni mlikuwa mkimbeep Mungu.Ila kwa kuwa bado hamjatimiza kazi aliyotaka muifanye pamoja na kumkosea kwenu amewapa nafasi nyingine.Tafuteni kikao kingine cha pamoja mpeane darasa.Kuwa Mungu habeepiwi.
 
Niliiona hii ajali
 
Me ujue nampenda mtu msema ukweli, kuna dada nliwah kuwa napiga nae stori na ni mzuri, nikamuuliza kimasihara we umewah kupasuliwa na watu wangapi? Akasema 20+ na kaniambia wadada wengi wa town ukiwauliza amewah kuwa na wangapi atakwambia wawili wewe wa tatu, wengi wao wanadanganya, wadada wa mjini wengi wametumika ila hawawez kusema ukweli....
Shida tukisema ukweli mnatutuacha acha tu tuwadanganye
 
Sasa ndugu kwa kuwa mlikuwa mnasema mmechoka kuishi hamwoni mlikuwa mkimbeep Mungu.Ila kwa kuwa bado hamjatimiza kazi aliyotaka muifanye pamoja na kumkosea kwenu amewapa nafasi nyingine.Tafuteni kikao kingine cha pamoja mpeane darasa.Kuwa Mungu habeepiwi.
Walikuwa wanasema wao na ni akili ya pombe nadhani
 
Hakika mkuu, ila unakuta wakati huo umeshabadilika unataka kutulia ukisema ukweli ulivyokuwa hapo awali mtu anakuacha
Mm binafsi napenda mtu mkweli,nimeshashuhudi ndoa za bar maid kama wawili wametulia kuliko hata walokole nkajifunza kuwa alikubali kurenew life na mume akaaccept reality...
 
Kuna umri ukishafika utakunywa jirani na nyumbanii na hutokatisha barabara kwenda kunywaa

Ila ukiacha kunywa pombe utapata muda mwafaka wa kujitafakarii
Nimeacha mbona ila nilikuwa nawapa tu kampani hawa watu walitoka mkoani kuj kuangalia mechi
 
Mm binafsi napenda mtu mkweli,nimeshashuhudi ndoa za bar maid kama wawili wametulia kuliko hata walokole nkajifunza kuwa alikubali kurenew life na mume akaaccept reality...
Wanaume mlio wengi hammkishajua background mnaona mtu hafai, ni wachache sana wanaelewa kuwa kuna kubadilika
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Back
Top Bottom