Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, isingewezekana kwa ajali yoyote kuwapo.

Ajali kuwezekana kuwapo ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.
 
Pole sana aisee, starehe hizi nakumbuka miaka ile nipo chuo tulienda kwenye harusi. Pale clouds maeneo yale kulikuwa na open space walikuwa wanafanyia harusi. Sijui kwa sasa bado lipo aul laah.
Rafiki yetu dada yake anaolewa na alikuwa boss kweli kweli na alichelewa kuolewa.
Sisi tukaunda couple zetu za sare sare mauwa haoooo harusini.
Sasa mwenzetu mmoja alikuwa na gari double cabin zile tukaamua woote tukae nyuma sasa kule nyuma ya gari uwiiii.
Tukawa tunapiga makelele sana yaani ile yaaa uwiiiiiiii kwa nguvu
Magomeni ile tunakunja twende chuo watu wanatushangaa kwa ile mizuka na pombe watu wakaanza kulia kweli. Kwenye mataa pale wanauliza nyie viiipiii watu wanajibu tumefiwa tunaenda Muhimbili aiseeee.
Sasa tumekua tunafamilia wakati si ukutq yamepita yale.
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, isingewezekana kwa ajali yoyote kuwapo.

Ajali kuwezekana kuwapo ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.
Mungu anaruhusu ajali kama hizi kutokea ili kutukumbusha tumrudie yeye tuache maovu
 
Mkuu Kira miaka mingi nakusoma Kama atheist Ila siku ukikutana na majanga utalitaja jina lake na ukuu wake.....
Kukutana na majanga nako pia ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kusingewezekana kuwa na janga lolote kwa yeyote.
 
Mungu anaruhusu ajali kama hizi kutokea ili kutukumbusha tumrudie yeye tuache maovu
Maovu kuwezekana kufanyika nako ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.

Angekuwapo, maovu yasingewezekana kufanyika kwa sababu Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani kufanyika.
 
Maovu kuwezekana kufanyika nako ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.

Angekuwapo, maovu yasingewezekana kufanyika kwa sababu Mungu huyo angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani kufanyika.
Utaacha tuu,huku ni kibinadamu zaidi!
 
Hapa naona umeshindwa kuelewa mkuu
Nimeelewa vizuri sana, sema sijanena kwa namna unayoitegemea.

Mimi nilichotaka ujue na watu wajue. Mungu hataniwi, hana mizaha na hadhihakiwi. Hata ukifanya mzaha anakupa
 
Nitaacha nini?

Jibu hoja ya kidhahania, nioneshe unaweza kufanya hoja ya kimantiki iliyozidi ad hominem fallacy.

Jadili hoja, usinijadili mimi.
Uwepo wako tuu ni udhihirisho wa uwepo wa Mungu, maana kuna mawili kuchagua yupo au hayupo , wewe nawe umechagua fungu lako!
 
Uwepo wako tuu ni udhihirisho wa uwepo wa Mungu, maana kuna mawili kuchagua yupo au hayupo , wewe nawe umechagua fungu lako!
Uwepo wangu unathibitisha vipi kwamba Mungu yupo?

Thibitisha uwepo wangu unathibitisha Mungubyupo, usilazimishe hoja kwa kuisema tu.

Kusema kitu tu hakufanyi kitu kiwe kweli.
 
Nyie mlikuwa hatari aisee😁😁
 
Pombe haina shida.
Shida iko kwa waliokuwa wanapaisha gari
Hongera kwa kutoka salama.
 
Mngekufa tu wote.
 
Mambo ya kupenda lift. Kwanini usipande hata usafiri wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…