Kwanini wanawake siku hizi vijana wa kiume wanawaogopa mpaka wanawafananisha na wanaume?Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
😅😅😅Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
Na inakuaje Mwanaume kujifanya mwanamke?Kwanini wanawake siku hizi vijana wa kiume wanawaogopa mpaka wanawafananisha na wanaume?
Na nyie maafisa kipenyo mmejaa humu..!!Wako wengi sana mbona
Wengi wanataka kuwalia pesa wajinga wajinga humu..!!Na inakuaje Mwanaume kujifanya mwanamke?
Mwanaume kula pesa ya mwanaume mwenzie hiyo nayo ni kazi nyingine 😅😅Wengi wanataka kuwalia pesa wajinga wajinga humu..!!
Wanaume wengi madomo zege 😹😹
😹😹😹 Halafu wanawalia kuliko sisi wanawake. Si wanajuana weakness zao.Mwanaume kula pesa ya mwanaume mwenzie hiyo nayo ni kazi nyingine 😅😅
Mi Mpaka nitoe mkwanja wangu duh hadi nione kabisa nyapu! Hata video call staki hadi mtu aje nimuone😹😹😹 Halafu wanawalia kuliko sisi wanawake. Si wanajuana weakness zao.
Wanaelewa pa kupiga ili watoe mkwanja..!!
Fanya hivyo basi 😹Haha