Sijwahi kuamini kama JF kuna mwanamke ndo maana nakuwaga na machale sizamagi PM

Sijwahi kuamini kama JF kuna mwanamke ndo maana nakuwaga na machale sizamagi PM

Asante kaka yangu.
1783104298225.gif
 
Mbona wengine na mie tunakusoma tangu uende ulipo na kuandika yote yako hadi juzi hapa.. Ila duh umebadilika sana huko 😅😅😅
 
Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume

Akili inanituma hivo

Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
Au sioo
 
Kuna mmoja nilimtongozaga umu na cha ajabu hadi leo picha yangu anazo
..nahisi yule demu ninja wa pale obay
 
Back
Top Bottom