Sijwahi kuamini kama JF kuna mwanamke ndo maana nakuwaga na machale sizamagi PM

Wengi wanataka kuwalia pesa wajinga wajinga humu..!!
Wanaume wengi madomo zege 😹😹
Dah!

Hilo nalo neno mkuu.

Katika mapingamizi makuu ya mwanaume duniani, mojawapo ni hilo.

Wengi hutumia pesa 'kuanzisha' ama katika stage ya 'kulainisha'.

Lakini nisiwakandie sana majamaa, maana hata mimi 'dhambi' hiyo nilikuwaga nafanya.

Kama hauna pesa ya mawazo, ni raha sana kuunguza pesa na kuona namna jinsi zinavyovunja milima na kukuletea dhahabu zilizokwisha kuchekechwa huku ukiwa umekaa raha mustarehe bila kuhangaika.
 
Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume

Akili inanituma hivo

Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
Wanawake wapo wengi tu, nina marafiki kadhaa ambao nilikuwa na mawasiliano nao humu humu na kusaidiana katika hali na mali
 
Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume

Akili inanituma hivo

Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
Iv n kweli mkuu
 
Binti wa zamani, ni binti mrembo sana, sasa wewe unasemaje hakuna wanawake humu.

Seran ni mto wa kike, Lamomy vilevile.
 
Huku wanawake nao wanasema 'Mkuu'
 
Binti wa zamani, ni binti mrembo sana, sasa wewe unasemaje hakuna wanawake humu.

Seran ni mto wa kike, Lamomy vilevile.
We kijana mimi nina mzigo ohoo!😎
F8EE8D4D-91CA-45C4-B7DF-08F8093B8978.jpeg
 
Back
Top Bottom