al1
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 1,360
- 2,696
😀😀😀 Mkuu jf Kila memba amejipata ana mawe, chuma Kali, mjengo mkali, mamanzi wakali wanamshobokea na wametembea sana mambele.😹😹😹
Acha uoga wewe..!!
Halafu kuna Uzi wako nimeona umeweka risiti kuna 700millions Nmb aiseee mkuu naomba dollar 200 tu..!!