πππ Mkuu jf Kila memba amejipata ana mawe, chuma Kali, mjengo mkali, mamanzi wakali wanamshobokea na wametembea sana mambele.πΉπΉπΉ
Acha uoga wewe..!!
Halafu kuna Uzi wako nimeona umeweka risiti kuna 700millions Nmb aiseee mkuu naomba dollar 200 tu..!!
Kwahiyo aje Singapore direct hutaki video call? πΉMi Mpaka nitoe mkwanja wangu duh hadi nione kabisa nyapu! Hata video call staki hadi mtu aje nimuone
Kwanza aji describe
1. Nyashi iwepo ndo ugonjwa wangu
2. Asiwe mfupi
NdioHaha
Acha kucheka Cheka basi..!!ππππ
Haha no vi hela vidogo vidogo vi 100K vi 50K ni kawaida ila kutuma milion nooo! Hadi mwanamke ama aje Singapore au niwe bongo Likizo au Twende Maldives kutumia bahaaasKwahiyo aje Singapore direct hutaki video call? πΉ
Sasa ufupi na nyash hapo inahusiana nini? π₯πΉ
Mbona mnapenda kushindana na Mungu?
Huyu mawe anayo kweli achana na wale mapampula πΉπΉπππ Mkuu jf Kila memba amejipata ana mawe, chuma Kali, mjengo mkali, mamanzi wakali wanamshobokea na wametembea sana mambele.
Kila lakheri mkuuπHuyu mawe anayo kweli achana na wale mapampula πΉπΉ
Jamani Maldives tena..!!Haha no vi hela vidogo vidogo vi 100K vi 50K ni kawaida ila kutuma milion nooo! Hadi mwanamke ama aje Singapore au niwe bongo Likizo au Twende Maldives kutumia bahaaasi
πΉπΉπΉKila lakheri mkuuπ
Siku hizi kinachotenganisha dressing table ni lipstick pekerNa inakuaje Mwanaume kujifanya mwanamke?
Sasa watoto waende Zanzibar hata mimi niende Zanzibar kweli?? Hapana ! Alafu ukitaka umchanganye mwanamke mpeleke maeneo ambayo wewe ndo unakuwa mwenyeji wake au kama si mwenyeji wake basi yale maeneo yawe mapya kwake , we do uwe mwelekezi wake mbona utaenjoy!Jamani Maldives tena..!!
Mtego huo utafanya mashangazi tujitose πΉπΉπΉ
Tuma basi hiko ki 100k tuunge bando tajiriii..!!