Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Dah!Wengi wanataka kuwalia pesa wajinga wajinga humu..!!
Wanaume wengi madomo zege πΉπΉ
Wanawake wapo wengi tu, nina marafiki kadhaa ambao nilikuwa na mawasiliano nao humu humu na kusaidiana katika hali na maliYaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu ππΌ
Iv n kweli mkuuYaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu ππΌ
Wanawake jf wapo wanne tu, na kati yao watatu ndio wapo activemwanamke humu ni mmoja tu hao wengine ni midume, naye ni Evelyn Salt
Nawe nakujua umooo ni mwanamke Wengine mmmmmWanawake jf wapo wanne tu, na kati yao watatu ndio wapo active
Bro niko na makendendeNawe nakujua umooo ni mwanamke Wengine mmmmm
umasikini wa kipatoKwanini wanawake siku hizi vijana wa kiume wanawaogopa mpaka wanawafananisha na wanaume?
Binti wa zamani, ni binti mrembo sana, sasa wewe unasemaje hakuna wanawake humu.Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu ππΌ
Huku wanawake nao wanasema 'Mkuu'Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu ππΌ
We kijana mimi nina mzigo ohoo!πBinti wa zamani, ni binti mrembo sana, sasa wewe unasemaje hakuna wanawake humu.
Seran ni mto wa kike, Lamomy vilevile.
Mupenziiii wa zamani, naona umeamua kuwachota wajae kwenye mfumo π πBinti wa zamani, ni binti mrembo sana, sasa wewe unasemaje hakuna wanawake humu.
Jonasi ana mbinu hawajagundua tuπ€£ππΎMupenziiii wa zamani, naona umeamua kuwachota wajae kwenye mfumo π π
Jonasi ana mbinu hawajagundua tuπ€£ππΎ
Nisamehe bure broo! Nimeufyata!We kijana mimi nina mzigo ohoo!πView attachment 3621566
Umesamehewa dhambi zako zote!Nisamehe bure broo! Nimeufyata!
Tena wengi wanakuona wewe ni wa kiume. Nimeamua kuliweka sawa. Wasiponielewa tena Ayatollah wao sijui sasa!