secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Asante kaka yangu.Unesamehewa dhambi zako zote!
Sasa hizo si ni shida zao kaka ndege! Mtu kaamua kukuwaza wewe unaumizaje kichwa! Kwanza hiyo ni faida kubwa sana kwanguπ€£Tena wengi wanakuona wewe ni wa kiume. Nimeamua kuliweka sawa. Wasiponielewa tena Ayatollah wao sijui sasa!
Asante kaka yangu.
Ninaumia sana nikiona wewe my wangu, wanakuona kama kidume π₯².Sasa hizo si nida zao kaka ndege! Mtu kaamua kukuwaza wewe unaumizaje kichwa! Kwanza hiyo ni faid akubwa snaa kwanguπ€£
Achana nao kama wanaumia wakafe huko! Akili fupi ndio michezo yao!πNinaumia sana nikiona wewe my wangu, wanakuona kama kidume π₯².
Nimekubali! Tufanye yetu vikaragosi tuwaache na yao, right?Achana nao kama wanaumia wakafe huko! Akili fupi ndio michezo yao!π
Kabisa!πNimekubali! Tufanye yetu vikaragosi tuwaache na yao, right?
Mke mkubwa!Ni kweli kabisa. Humu tupo midume tu.
Abeee!Mke mkubwa!
Mume anatangatanga tu huko siku ya sabato!Abeee!
Sikio la kufa yule.Mume anatangatanga tu huko siku ya sabato!
bro, huyo mmoja...?πWanawake jf wapo wanne tu, na kati yao watatu ndio wapo active
πWe kijana mimi nina mzigo ohoo!πView attachment 3621566
Au siooYaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu ππΌ
Mmoja huwa anakuja na kupotea itakua kabanwa na ndoabro, huyo mmoja...?π