Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

sidhani kama kuna mtu angezania tungechapika hivi , natamani hata nishabikie muziki
Kwani shida ni nyie!? Hapana. Unajua,af mi nimeona. Kwanza hii mechi mvua imenyesha sana uwanja ukateleza. Hata hivo, mimi kwa macho yangu nimesikia Golikipa akiongea na watu wa Yanga,akasema dau halitoshi waongeze. Mechi imeuzwa sema tu sikutaka kusema kabla. Si juzi niliwambieni! Nimewaona wachezaji wa Yanga kwa mganga pale jirani na kijiweni kwetu! Wametuloga wale!! Af na jezi za leo ka zinafanana za timu pinzani. Kwa hiyo mpira haukwenda sawa.

Asalalleehh
 

Attachments

  • WA_20231105_202625.jpg
    WA_20231105_202625.jpg
    40.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom