Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Pacome
Azizi key
Max, ahahahahaaaa huwezi kukaba wote weyeeeeee
Pacome kahusika katika magoli yote, huyu jamaa wameshindwa kabisa kafanya anavyotaka na kutengenezea wachezaji wenzie nafasi za kwenda kushambulia mbele. Kwangu ndio man of match leo
 
Pacome kahusika katika magoli yote, huyu jamaa wameshindwa kabisa kafanya anavyotaka na kutengenezea wachezaji wenzie nafasi za kwenda kushambulia mbele. Kwangu ndio man of match leo
Huyo ni mtu hatari Sana... Alihitaji kupewa kiungo katili Kama kanoute atembee nae ila alimkuta kiungo lonyalonya hareact faster kwenye matukio ko amejigeuzia tu.
 
yaani simba tangu the late magufuli
aondoke duniani , simba inasua sua sana

imefika stage nammis sana mzee kwenye soka
 
Back
Top Bottom