Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Simba Kuna tatizo la uongozi, pesa zipo lakini wanasajili magarasa
Overconfidence pia inawafelisha.....Mfano pep. Guardiola ana mfumo mmoja ukitosheka na mafanikio ruksa kuondoka simba Wana ile imani kuwa kjn wa 2001 ndoo huyo huyo wa 2007 .....

Mfano Luis Miquissone anajitafuta Sana KWA sahiv
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
 
Back
Top Bottom