mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ndugu Mwasibu ungetumia I'D yako ya okwibobansunzu tusingekujibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah chief, ngoma alimezwa mnooZile pasi walizokuwa wanapasiana pale katikati kina yao , lomalisa nzengeli , Pacome , muda , aucho ,aziz ki nilijua wachezaji wa simba wanasinzia na usingizi mzito au wamebwia unga
Ooh tunataka matokeo ....siasa sanaJamaa fix nyingi sana sasa aelekezewe Camera sijui ataongea nini pura objective au pura nini draft?
mkuu mm niko mapwepande , kesho asubuhi nawahi class kufundisha madogoNdugu Mwasibu ungetumia I'D yako ya okwibobansunzu tusingekujibu?
Omba likizo mkuu. Mkuu wako ni mwanasimba Yule hatakataaamkuu mm niko mapwepande , kesho asubuhi nawahi class kufundisha madogo
Barca ilikuwa na thamani ya Euro 989 wakati Bayern Munich Euro 100 tu ....bado hujasemaKawaida kwenye soka, unakumbuka thamani ya Barça ilipopigwa goli 8 na Bayern kwenye UCL?
yaani kesho madogo lazima wachezee kichapo hasa wasiondika notes.Omba likizo mkuu. Mkuu wako ni mwanasimba Yule hatakataaa
Tatizo ni nyie mashabiki. Mfano suala la miquissson na chama, ninyi ndio mlikuwa mkipiga kelele ati warudishwe. Mlifikia hadi kusema Mo awaachie timu.Simba Kuna tatizo la uongozi, pesa zipo lakini wanasajili magarasa
Ushasema H2H lazima iwe match tu.....ila ukitaka kuangalia in deep utaangamia squad list n.kTafuta H2H ya Man U na Man City uone kama utaletewa na thamani za klabu au matokeo tu walipokutana
daah mmeamua kutulaalua sasaTatizo ni nyie mashabiki. Mfano suala la miquissson na chama, ninyi ndio mlikuwa mkipiga kelele ati warudishwe. Mlifikia hadi kusema Mo awaachie timu.
Hata huyu mlemavu kocha wenu anamjulia wapi? Ni nyinyi mmelazimisha adake Leodaah mmeamua kutulaalua sasa
😃😃😃yaani kesho madogo lazima wachezee kichapo hasa wasiondika notes.
na kesho lazima wakacheze wimbo wa hanii, hanii ,hanii na viboko juu
sawa pacome zuzuKweli kufungwa kupo lakini ndio mjiachie mfungwe kwma mechi ya mchangani?
Mbavu! [emoji57][emoji57]
Piga mwizihawa wakuda wanajua kupiga mwizi, wame tuadhibu kweli kwelii