Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Yes ilikuwa offside, kuna goli pia kulikuwa na faulo kwenye build up
Kila mchezaji akianguka ni faulo? Vipi ile kapombe aliposhikilia mguu wa mchezaji wa Yanga kwenye 18 haikuwa clear penalt? Saivi mnahamia kwenye waamuzi?
 
Wenzao walikua wakifanya scouting ya wachezaji wao wanawavizia uwanja wa ndege.
 
Back
Top Bottom