balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mwanangu na demu wangu ni Simba nilijikuta nawakera sana janasidhani kama kuna mtu angezania tungechapika hivi , natamani hata nishabikie muziki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu na demu wangu ni Simba nilijikuta nawakera sana janasidhani kama kuna mtu angezania tungechapika hivi , natamani hata nishabikie muziki
Hivyo vya zamani Achana navyo weweeunahaki binti zuwena, kumbuka nawe tulikuchapa 5-0 . 2012
Kuna mwenzenu aliwashauri humu mkambeza. Aliandika kuwa YAO si mtu mzuri hivyo anataKa watu wakumfanye asifanye anavyotaka.Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja ,mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya
Huu ni msiba mkuu acha tuombelezeMnaomboleza sasa
Refa kachezesha fair, hakupewa chochote, anaeamua goli ni kibendera hujui soka, kafie mbele! Makolokwinyo mmezidiwa mkafungwa kubali kama wenzako acha visingizio vya kijinga! Siku ingine tutawapiga wiki nzima (7-0)Unatoa Chama unaingiza onana kwanini usifungwe,
Beki inakatika kuliko yondo sister kwann usifungwe,
Manula hajakava kuwasiliano na mabeki mechii hakutakiwa kuja kujaribiwa!
Over confidence ya hovyo ndiyo imewagharimu kushindwa kumuheshimu mpnzani!
Pia wachezaji hawachezi kama team, utaona kibu muda wote anashuti tu mahali pa kutoa basi yote hayo ni kuichosha team!
Referee wa mchongo kaingia na maelekezo, ili kubalance ligi iwe na mvuto yanga alitakiwa kushinda hii gemu, kadi za njano ni moja ya silaha ya ARAJIGA kufanikisha hilo,
Kwa msioelewa ARAJIGA alipangwa kwenye hii mechi kwa maelekezo maalum!
Simba na yanga ni stabilizer team kwenye taiga hill, Isingekuwa rahisi kwa simba Leo kupata ushindi!
ROBERTINO HAKUWAHESHIMU WAPINZANI NDIYO MAANA KACHAPWA
Nimeumia sana chiefKuna mwenzenu aliwashauri humu mkambeza. Aliandika kuwa YAO si mtu mzuri hivyo anataKa watu wakumfanye asifanye anavyotaka.
Mwanasimba huyo alishauri KIBU ndio awekwe upande wa YAO nyie mkabisha . Kapu la magoli limeanzia kwa yao upande wa muhamedi husein.
Beki 2 yenu inapanda kwa kujiachia kama mnacheza na Namungo. Una deal ba watu kama Zou Zou au ZOA ZOA unajiendea juu kijinga kinga.
Simba mmeshindwa kufanya review ya mechi ya Ngao ya hisani. Ile mechi mlizidiwa sana ila mmekunja shingo.
Warabu wenyewe waliwakosa kosa mngechezea tatu kama wangekuwa makini.
LEO MNATAKIWA MTUAMKIE. MSEME SHIKAMOO YANGA.
Pole mkuu. Mpira bila kufungwa unaluwa mpira wa kitoto. Man u ilikuwaga ya makombe sasa hivi inapigania top 4 kila mwaka. Bila haya matukio mpira haunogi unakuwa unaboa unaenda uwanjani unajua nani ananishinda.Nimeumia sana chief
Pira objective VS Pira..............sidhani kama kuna mtu angezania tungechapika hivi , natamani hata nishabikie muziki
Gamondi kamind sana, kasema Yanga hawatumii vizuri nafasi za kufunga.chief ndio turuhusu 5 kwelii
nalo chama langu,ryan gigs na paul scholes ndio walio nileta unitedPole mkuu. Mpira bila kufungwa unaluwa mpira wa kitoto. Man u ilikuwaga ya makombe sasa hivi inapigania top 4 kila mwaka. Bila haya matukio mpira haunogi unakuwa unaboa unaenda uwanjani unajua nani ananishinda.
Mwamba overmass muholanzi katili asiecheka.nalo chama langu,ryan gigs na paul scholes ndio walio nileta united
Hujui kama ndo kazi yake?Tatizo Ahmed ally anaongea sana akitupaisha viwango ambacho sio vyetu
Team is full of propaganda [emoji23]