Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja ,mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya
Kuna mwenzenu aliwashauri humu mkambeza. Aliandika kuwa YAO si mtu mzuri hivyo anataKa watu wakumfanye asifanye anavyotaka.
Mwanasimba huyo alishauri KIBU ndio awekwe upande wa YAO nyie mkabisha . Kapu la magoli limeanzia kwa yao upande wa muhamedi husein.
Beki 2 yenu inapanda kwa kujiachia kama mnacheza na Namungo. Una deal ba watu kama Zou Zou au ZOA ZOA unajiendea juu kijinga kinga.
Simba mmeshindwa kufanya review ya mechi ya Ngao ya hisani. Ile mechi mlizidiwa sana ila mmekunja shingo.
Warabu wenyewe waliwakosa kosa mngechezea tatu kama wangekuwa makini.
LEO MNATAKIWA MTUAMKIE. MSEME SHIKAMOO YANGA.
 
UFUNGUZI WA AHMED ALI KWENYE SIMBA DAY UNAWEZA KUDHANI NI USAJILI WA UKWELI KUMBE MAGUMASHI. WANASIMBA WANAPIGWA SANA AHMED ALY ANAWALETEA VIWETE KINA ONANA NAO WANAMCHEKEA.
ACHA TUENDELEEE KUWACHEZEA DADA ZETU SIMBA.
 
Refa kachezesha fair, hakupewa chochote, anaeamua goli ni kibendera hujui soka, kafie mbele! Makolokwinyo mmezidiwa mkafungwa kubali kama wenzako acha visingizio vya kijinga! Siku ingine tutawapiga wiki nzima (7-0)

GAMONDI hafai ni mtu mbad sana Mzee wa nyuklia alienda kutazama mechi za Simba Jana akawadhalilisha kwa kuua Mbu (Simba) kwa gobole!!
 

Attachments

  • VID-20231105-WA0025.mp4
    3.4 MB
Nimeumia sana chief
 
Nimeumia sana chief
Pole mkuu. Mpira bila kufungwa unaluwa mpira wa kitoto. Man u ilikuwaga ya makombe sasa hivi inapigania top 4 kila mwaka. Bila haya matukio mpira haunogi unakuwa unaboa unaenda uwanjani unajua nani ananishinda.
 
Pole mkuu. Mpira bila kufungwa unaluwa mpira wa kitoto. Man u ilikuwaga ya makombe sasa hivi inapigania top 4 kila mwaka. Bila haya matukio mpira haunogi unakuwa unaboa unaenda uwanjani unajua nani ananishinda.
nalo chama langu,ryan gigs na paul scholes ndio walio nileta united
 
Simba ina wachezaji 10 uwanjani pamoja na golikipa wa 11 na mashabiki wa kumi na mbili. Yanga pia ina wachezaji idadi hiyo hioyo. Sasa iwapo wachezaji wanne wa Simba wanakabiliana na mchezaji mmoja tu wa Yanga, ina maana kuwa wachezaji 9 wa Yanga watabakiwa nwa wachezaje sita tu wa SImba, na hapo ndipo tatizo linapoanzia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…