Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Sijui naye ataweza kumpata mganda wa kumpa tuisheni maana 'ras lion' nasikia ana wanafunzi wengi siku hizi!Anajitahidi dogo atazoea ndo anaanza kupata exposer sasa so he must get used to it..ajifunze zaidi
HahaahaSijui naye ataweza kumpata mganda wa kumpa tuisheni maana 'ras lion' nasikia ana wanafunzi wengi siku hizi!
HAHAHAHAAADogo bora kaongea kiswahili kuliko yule mnyarwanda mwanariadha