Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

Sikiliza kiingereza cha Harmonize tuzo za Afrima

In don't let you down guys!.....

Japo aliamua tu kuongea lugha yetu ya Kiswahili baada ha kujua udhaifu wake.! Ila atajua tu maana braza ake na yeye alikua hivihivi japo alifundishwa kingereza na Sepenga
 
Mwanzo mgumu,afadhari yeye amejipambanua kua hajui,kuna yule ngosha hua nikiona clip zake za kiingereza lazima mbavu moja ivunjike
 
Mbona kaongea vizuri tu? amejiongeza kaulizwa kingereza kajibu kiswahili safi sana maana amejua hawezi kuongea moja kwa moja kingereza.

si bora huyu. mkimskia Baraka the Prince si mtaazimia.

huyu dogo nilianza kumkubali baada ya kumskiliza siku moja EAR aliongea vizuri sana.
 
Dah inabidi wasanii na wenyewe wajitaidi bhana kuwa ki international aise ila utakuta muda mwingi anapoteza sijui kaenda kwenye pati gani badala ungekaa geto unajifunza haya mambo hayaji hivi hivi bila jitihada yako mwenyewe halafu unataka kuwa wa kimataifa!! Labda kama unataka kuwa wa kimataifa kama wale ndala wa mchangani.
 
Back
Top Bottom