hawa wamehakuwa mashtani wanywa damu za watu.Je akina Samia, Wambura na Muliro watasikia au ndio wataendelea kushupaza shingo?
Muchepuko mnufaika wa Sisiemu hapo Chamwino una bwabwa jaAanzishe chama tu aone Raha yake. Domo kubwa maneno ya utabiri wa kukariri hotuba za nyumbu. Bure kabisa
Wewe mjinga sana. Una maana nchi hii ni ya mwanasiasa peke yao?Aanzishe chama tu aone Raha yake. Domo kubwa maneno ya utabiri wa kukariri hotuba za nyumbu. Bure kabisa
Wewe ndiyo nyumbu anzisha chama chako cha kishetani tujue kuwa wewe ni ibirisi mkubwa, wapo wapi magu, mabutu, Bokasa, idd Amini Dada, Elibashiri na wenzao ? Hakuna mabaya yasiyo na mwishoAanzishe chama tu aone Raha yake. Domo kubwa maneno ya utabiri wa kukariri hotuba za nyumbu. Bure kabisa
Polisiccm sasa wanaona ni sifa kuonea watuKwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi.
Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo.
Je akina Samia, Wambura na Muliro watasikia au ndio wataendelea kushupaza shingo?
Sikiliza maneno ya Mtumishi wa Mungu kwenye LINK:
View: https://www.youtube.com/watch?v=gRFTQaTOCUg
Wako wapi akina bob nyanga makani bwege Mkubwa weyeWewe ndiyo nyumbu anzisha chama chako cha kishetani tujue kuwa wewe ni ibirisi mkubwa, wapo wapi magu, mabutu, Bokasa, idd Amini Dada, Elibashiri na wenzao ? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho