Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

Wanakuwa kama Makonda na Gambo!
Ili kuwasahaulisha watu kuwa mama Samia kabaka katiba ya CCM na kuwateka wajumbe wa mkutano mkuu Kisha kulazimisha wajipitishe kugombea urais bila utaratibu
 
Jikaze hayo mambo yapo ukiyaendekeza sana ni hatari!, sasa wewe ungekuwa unakutana navyo kila siku ingekuwaje sasa...?😅
Kaka pombe ninazo ndani ila nina miezi mitatu sijagusa ila leo naona uvumilivu utanishinda , ila ngoja nikaze😄
 
Martha ni hatari mno.Kanajua kanarecord so kanaongea kaonekane kana Hekima.Wallah mimi ningekuwa Bite ningemblock Martha kila mahali na nikaishi maisha yangu .Huyo Bite ana sauti nzuri mno na ana kipaji cha kuimba.
 
Kwa hiyo clip huyo bite awahi mirembe haraka na nina hisi kabisa hana pesa, kumzidi huyo mwingine , unajua pesa na kelele ni kama paka na panya?
 
Kwa hiyo clip huyo bite awahi mirembe haraka na nina hisi kabisa hana pesa, kumzidi huyo mwingine , unajua pesa na kelele ni kama paka na panya?
Yap anajua Joan ndo anakula pesa za Martha ambazo Bite alitakiwa ale.Bite ajiongeze atafute zake na kamwe hatomfikiria tena Martha.
 
Back
Top Bottom