Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

VIDEO YA PAULINE GEKUL AKIWA AMEMTEKA KIJANA HASHIM NA KUANZA KUMUHOJI AKIWA KAMVUA SURUALI NA CHUPI..!

Katika hali ya kushangaza Jana Jeshi la Polisi limekabidhiwa Video fupi ya Jinsi Pauline Gekul alipokuwa Naibu waziri Katiba na Sheria

Akiwa amemteka kijana Hashimu Ally na Kuanza kumuhoji huku Gekul akiwa mkononi amemshikia Bastola kijana Hashimu akiwa hana suruali wala chupi kisha kuanza kumlazimisha kuikalia chupa ya Coca-Cola.

Video inasikia Sauti ya Gekul mwenyewe akiwa anamuhoji kijana, tena juu ya tuhuma na vitu vya Kijinga alivyo pigiwa ramli na mganga wa kienyeji kuwa Kuna mtu anamroga kibiashara.

Tizama video chini Kijana Hashimu anaonekana akiwa hama nguo za chini (Suruali na Chupi) huku Pauline Gekul akiendelea kumuhoji maswali.

Jeshi la polisi limekabidhiwa Video hii Jana na Pauline Mwenyewe kama sehemu yake ya Utetezi katika mahojiano na Jeshi la Polisi.

Akiwa Gekul anataka kuhalalisha kumteka, kushikia Bastola na Kimkalisha kijana juu ya chupa ya Coca-Cola kulifanya kijana aseme kweli kuwa katumwa amroge.

SHENZI SANAAAAAAA

Siyo tu kwamba Pauline ni Gaidi, Jambazi na katili kwa Video hii utagundua kuwa pia Pauline Gekul HANA AKILI

unawezaje kupeleka Ushahidi wa namna hii ambao ndiyo unathibitishia Dunia kuwa hajaonewa bali katenda kweli Ukatili dhidi ya Kijana Hashimu Ally.
 
Hana mwanasheria wa kumushauri kabla haja fanya jambo lolote,au andhani kuwa naibu waziri wa katiba na sheria basi hahitaji kuwa na mwanasheria wa kumsimamia!?
 
hii kesi itaisha kwa lawama zaidi dhidi ya mahakama
 
Huyu Mama angetulia Kwa Muda kwanza kapost hii Video mwenyewe Nasikia whatsapp lakini ukiangalia utaona kuwa Huyu mtoto kavulishwa Nguo kipindi anahojiwa kwahyo tuhuma za Kijana kuwa aliwekewa Chupa Amezithibitisha mwenyewe Pauline kwa Video yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…