Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

Hamisi ananyongwa kisa ni NDOA.

""Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni.

Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.

Mimi ni muislamu

Lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya kikistru kanisa la Assemblies of God Upanga

Bila ya shaka nimefanya hivi kwa kuwa nakupenda sana mke wangu.

Tunaishi maisha mazuri, tunafanikiwa kumiliki nyumba kadhaa na magari manne.

Ninakufungulia biashara ya duka la kuuza madawa huku mimi nikiendelea na biashara yangu ya kununua na kuuza viwanja.

Tunapata mtoto mmoja aitwaye Gracious

Mke wangu unabadilika.

Unaanza kuninyima haki yangu ya ndoa bila sababu za msingi.

Hali inaendelea hadi inafikia hatua tunalala vyumba tofauti katika nyumba yetu ya ghorofa mimi chumba cha juu wewe cha chini.

Inafikia hatua mimi naanzisha mahusiano nje na wewe unaanzisha ya kwako.

Unaweza kulala nje bila taarifa na mimi vivyohivyo.

I and you deny each other conjugal rights (horizontal engagement)

Jambo hili linajulikana kwa wazazi wa pande mbili.

Hata majirani wanajua mambo unayonifanyia kama kunimwagia maji machafu, kunipiga na fagio na hata kunivuta makende yangu mbele ya mama yangu mzazi.

Mke wangu,

Kuna siku ulinichoma na kisu mkononi

Nikaenda Polisi lakini wakanirudisha kuwa tumalizane wenyewe.

Yote nilivumilia.

Kila wakati unani provoke kuwa nikupige nikuue lakini sifanyi hivyo.

Nilishakuomba twende mahakamani tuvunje hii ndoa yetu lakini ukakataa.

Ikafikia hatua sili wala siogi nyumbani kwangu kwani naogopa usije niwekea sumu.

Ndipo kuna siku niliondoka nyumbani bila kurudi kwa muda wa siku tano.""

Story juu, imepatikana kwenye maelezo ya onyo (Cautioned statement) ya Hamisi Saidi Luwongo

Maelezo haya aliyatoa mbele ya mpelelezi kituo cha polisi Temeke

NA HIZI NDIO NDOA ZENU.

View attachment 3251653View attachment 3251654

#YNWA
#YANGA_BINGWA
There is no happy ending for a simp.
 
Yaani unasema mapovu. While povu unalitoa ww linapenya hadi katikati ya meno.
Kwanza kumbe hujaelewa kataa ndoa ni nini, the big slogan humu. Hujui amendments zake hufahamu how it works. Kaa kimya sio lazma kila kitu uandike chunguza what is kataa ndoa.
#kataandoa
#Ndoaniutapeli
Halafu linaandika kama lishoga lililoitwa na baasha wake ambae yupo serikalini
Halijui dhima nzima ya kataa ndoa linakurupuka kutoka huko lisenge kikuma yaani hili lingechelewa kidogo kuzaliwa hata siku tatu lingezaliwa na mkia kabisa wa kenge... K* uma la mamaake..
 
Nina ushuhuda na hili teacher mmoja hakuoa alikufa ovyo sana cos hakupata huduma ya karibu walimu wenzake wameenda kupiga gongo mtaani yeye anakabiliana na kutokwa roho wanataarifiwa wanafika mwamba hana dk 20 mbele yaani wanambeba mita 200 tu wanarudi kwamba kashadead
Siutaki ubachela kamwe hata nikiachana na niliyenaye sasa nitatafuta mwingine nioe ili anifariji tu no way out
Unakufa kwa njaa na pesa unayo
Jitahidi siku Moja Moja unakaa na matajiri wakueleze sikia ndugu Ukiwa na pesa kama Mimi ukiona Mwanamke kwa ndoa kwa HESHIMA fika jua Utasomesha wadogo zake watatu, utawatafutia kazi, baba yake mdogo anayekubalika katika vikao atakushawish ujenge nyumba ya kufika ukweni, Mchungaji wao atakupigia simu nakujitambulisha kwako mwisho kizinga, kwenu utawasahau MWISHO UTAKUJA KUJUA AU KUSHUHUDIA MKE WAKO ANATEMBEA NA BODA BODA.... ukiwa tajiri unakataa ndoa unaajiri mfanyakazi beki tatu safi unampa 50000 kwa mwezi
 
Binafsi huwa nikihuzulia Sherehe za Maharusi automatic naanza kumuonea huruma kijana hata wazazi ukiangalia vizuli utagundua Upande wa Ke wanafuraha zaidi kuliko Upande wa Me, hapo unatujua tu ni nani kalivaa
 
Sijasoma Hadii mwisho ila nagongea nyundo kwenye msumari

KATAAA NDOA LINDA KIBUNDA LINDA AFYA YA AKILI NA MWILI

RUDIA KUSOMA NILICHOANDIKA X30
 
Hatukatai mahusiano ya mwanamke na mwanaume. Hatukatai malezi ya baba na mama. Hayo yote yanaweza kufanyika bila ndoa. Ambacho hatukubaliani nacho ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la ndoa
Naelewa hilo. Usisahau kwamba ili kila mtu anatakiwa awe mshiriki kamili wa mahusiano yenu. Ndoa peke yake ndio inampa mtu uhuru na kujiachia kushiriki majukumu yote maana ni mmiliki halali wa hiyo taasisi (ndoa) anapokuwa sio mmiliki halali ndipo mengi hutokea, hamkawii kulalamika oooo anajenga kwao, ooo anaenda kuniroga, ooo hachangii loloote na mengine kibaooo. Ugumu mnauleta wenyewe kwa misimamo ilisiyoangalia athari zake.
 
Halafu linaandika kama lishoga lililoitwa na baasha wake ambae yupo serikalini
Halijui dhima nzima ya kataa ndoa linakurupuka kutoka huko lisenge kikuma yaani hili lingechelewa kidogo kuzaliwa hata siku tatu lingezaliwa na mkia kabisa wa kenge... K* uma la mamaake..
😀 😀 😀 😀 wahi Milembe. Mtu kama huyu unategemea ataoana na nani... hata akitangaza ndoa lazima akimbiwe! na hao ambao unadai utawachapa na kuwazalisha lazima wawe wehu kama wewe...
Ndio maana nilisema wengi wanaoshabikia hiyo slogan ya kukataa ndoa ila wanataka kuzalisha na kukwepa majukumu eti mikataba ya ndoa itawafilisi.. ni wasiojielewa kama wewe.. ndoa itakufilisi nini mtu kama wewe... hujijui tuuu sana sana ingekusaidia kujishape ili uishi kama baba mwenye commitment
 
Naelewa hilo. Usisahau kwamba ili kila mtu anatakiwa awe mshiriki kamili wa mahusiano yenu. Ndoa peke yake ndio inampa mtu uhuru na kujiachia kushiriki majukumu yote maana ni mmiliki halali wa hiyo taasisi (ndoa) anapokuwa sio mmiliki halali ndipo mengi hutokea, hamkawii kulalamika oooo anajenga kwao, ooo anaenda kuniroga, ooo hachangii loloote na mengine kibaooo. Ugumu mnauleta wenyewe kwa misimamo ilisiyoangalia athari zake.
Ndoa ni karatasi tu, kusainoshana cheti haimaanishi kwamba hamtaachana, hamtakua na ubinafsi uko ndoa au hautatombewa. Kila siku watu wanapeana talaka mahakamani, kila siku wake za watu wanatombwa mtaani. Kikubwa ni bond yenu tu yaani kupendana, kuheshimiana, kuvumiliana n.k wala sio hicho cheti cha ndoa. Mababu na mabibi zetu waliishi pamoja mpaka uzee na kifo bila kusainishana cheti chochote.
 
Halafu linaandika kama lishoga lililoitwa na baasha wake ambae yupo serikalini
Halijui dhima nzima ya kataa ndoa linakurupuka kutoka huko lisenge kikuma yaani hili lingechelewa kidogo kuzaliwa hata siku tatu lingezaliwa na mkia kabisa wa kenge... K* uma la mamaake..
Hahaha
 
Back
Top Bottom