Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAtaa ndoa wanayomaanisha n usifunge ndoa rasm iwe ya kidini , kimila, ki serikali n.k (mkataba wa ndoa ya maisha) n kama kifungo hasa kwa sheria za kikiristo.
Hawamaanishi kataa ndoa kwamba usioe au usiishi na mwanamke au usizaee.....uo ni uchaguzi wako...hujawahi kuona watu wanaishi pamoja mke na mume na hawajafunga ndoa rasm?
Sheria hz za dini za ndoa, sheria za serikali/mfumo jike [feminism]haki za binadamu n.k vinaonekana kuwabeba sana wanawake ktk ndoa kuliko waume....inapelekea mume kunyanyasika...
% kubwa ya me walioko kweny ndoa wanapitia changamoto kuliko ambao hawako.
Elewa slogan yao kwanza... usipapukie kuwalaumu.....
Awali ya yote napenda sana kukushukuru mkuu..Wewe ni KATAA NDOA,FIKA MAKAO MAKUU UCHUKUE KADI YA UANACHAMA.UNAELEMENT ZOTE ZA KATAA NDOA.
📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Ndio mi nashangaa sana watu wa kusini hukuUko sahihi kabisa watoto bilaa kujiandaa ni kutengeneza tatizo maana uamuz wa kuwaleta duniani ni wako
Sawa.Wengi wao hawafai, kwenye wanawake 10 wife material ni wawili tu. Mmoja wife material ya mdomoni aliyebaki ushindani wa kumpata ni mtiti
Kwa hiyo hata nikioa, ukweli ni kwamba Kataa Ndoa wana hoja. Mimi kuoa itakuwa exceptional case tuMimi napenda tu kukuchokoza mhasibu.
Kuoa na kuvunja masharti ya ndoa ni kukataa ndoa hate humu wapo wengi ila hawajijui kuwa kuvunja Sheria ni kupinga.mko nae kwenye kataa ndoa?
Mbona povu🙃Kwa hiyo hata nikioa, ukweli ni kwamba Kataa Ndoa wana hoja. Mimi kuoa itakuwa exceptional case tu
Sawa tu kama hiyo mikataba ipo na wote wawili wamekubaliana nayo na maisha yanaenda.Kwa mikataba mikali sanaaa
Sawa ila sio sheria kwamba lazima watu waoe au kuoanaSawa tu kama hiyo mikataba ipo na wote wawili wamekubaliana nayo na maisha yanaenda.
Nchi imejaa wanawake wa kila sampuli, unataka ujizeeshe na kujifungia na mke mmoja why???Sawa ila sio sheria kwamba lazima watu waoe au kuoana
Dadeq hawa keHamisi ananyongwa kisa ni NDOA.
""Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni.
Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.
Mimi ni muislamu
Lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya kikistru kanisa la Assemblies of God Upanga
Bila ya shaka nimefanya hivi kwa kuwa nakupenda sana mke wangu.
Tunaishi maisha mazuri, tunafanikiwa kumiliki nyumba kadhaa na magari manne.
Ninakufungulia biashara ya duka la kuuza madawa huku mimi nikiendelea na biashara yangu ya kununua na kuuza viwanja.
Tunapata mtoto mmoja aitwaye Gracious
Mke wangu unabadilika.
Unaanza kuninyima haki yangu ya ndoa bila sababu za msingi.
Hali inaendelea hadi inafikia hatua tunalala vyumba tofauti katika nyumba yetu ya ghorofa mimi chumba cha juu wewe cha chini.
Inafikia hatua mimi naanzisha mahusiano nje na wewe unaanzisha ya kwako.
Unaweza kulala nje bila taarifa na mimi vivyohivyo.
I and you deny each other conjugal rights (horizontal engagement)
Jambo hili linajulikana kwa wazazi wa pande mbili.
Hata majirani wanajua mambo unayonifanyia kama kunimwagia maji machafu, kunipiga na fagio na hata kunivuta makende yangu mbele ya mama yangu mzazi.
Mke wangu,
Kuna siku ulinichoma na kisu mkononi
Nikaenda Polisi lakini wakanirudisha kuwa tumalizane wenyewe.
Yote nilivumilia.
Kila wakati unani provoke kuwa nikupige nikuue lakini sifanyi hivyo.
Nilishakuomba twende mahakamani tuvunje hii ndoa yetu lakini ukakataa.
Ikafikia hatua sili wala siogi nyumbani kwangu kwani naogopa usije niwekea sumu.
Ndipo kuna siku niliondoka nyumbani bila kurudi kwa muda wa siku tano.""
Story juu, imepatikana kwenye maelezo ya onyo (Cautioned statement) ya Hamisi Saidi Luwongo
Maelezo haya aliyatoa mbele ya mpelelezi kituo cha polisi Temeke
NA HIZI NDIO NDOA ZENU.
View attachment 3251653View attachment 3251654
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umewachana live.Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote mstari wowote wa vitabu vitakatifu, hapa nakupa makali live.
Jaribu kufikiria, ulilelewa na familia na sasa unajitegemea. Kwa nini uishi peke yako? Wakati ukiwa na familia yako ndio waliokuwa wakipa huduma zote ulizohitaji wakati wa furaha na wakati wa magumu sasa iweje leo uwe mwenyewe? Huo ubinafsi wa kuishi peke yako unautoa wapi? kwa nini usioe? kwa nini nawe usisimame kama baba ukiienjoy na mke na watoto wako?
Hivi kesho ukihitaji huduma za kuhospitali nani atakuogesha? nani atakufariji? Najua una ndugu zako, nao watakuwa bize na familia zao; utashirikiana nao katika mambo ya nje na si ya ndani. Hivi usiku unajikumbatia peke yako kama mchawi na hata wachawi wanaoa! Hata kama utanunua wanawake... utachoka... hutapata amani na faraja ambayo ungeipata kwa mke. Kwani nini uishi kiunyongee?
Jaribu kuangalia walioishi peke yao..... hakuna aliyekuwa na furaha ya dhati, waliishia kuwa walevi na wanunua papuchi mwisho walifia ndani na kukutwa wamepasuka. Ndoa ni muhimu kwa binadamu. Changamoto za ndoa zinaweza kuwa solved lakini ukiwa na upweke si vya kukimbilia. Najua kuna wanaojifariji eti nitazalisha huko nje na kuchukuwa watoto wangu.
AMKA jipange kutafuta familia uitunze ikutunze. Hao wanaokudanganya humu hutakuwa nao na utakufa kibudu.
Ndo nshasema.. wakataa ndoa wote hawajielewi... wakajicheki afya ya akili na kama ukitaka kuwaiga usithubutu.
Mapovu ruksa.... ndoa zidumu na zitadumu milele na milele.
Tatizo lako unajibu na mihemko,Uwoga wa maisha ila watu wengi saiv wanaishi nyumba moja ila wanalala mzungu wa nne.
Wenye ndoa wengi wanakiri wanapimiwa unyumba.Hamtushawishi kuingia hilo chaka mlilofeli nyie.
📌📌Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
Hatukatai mahusiano ya mwanamke na mwanaume. Hatukatai malezi ya baba na mama. Hayo yote yanaweza kufanyika bila ndoa. Ambacho hatukubaliani nacho ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la ndoaWakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote mstari wowote wa vitabu vitakatifu, hapa nakupa makali live.