Tutapigana mwanzo mwishoMkuu muda mwingine shirikisha ubongo wako ili facts ziwepo, wewe unajua kiini cha mgogoro ule?let's me ask you swali dogo tu,hivi mwingereza akiamua kuvamia Tanzania akidai lilikua koloni lake, nini msimamo wako kwa hili?,pls nijibu then we can carry on na mada yako.
Whaat a man, mwamba sanaNot many politicians would choose to stay and fight when a superior army is gaining towards their position and they are the number 1 target of said army. Now whether he makes it or not, he will go down as a president that looked death in the eye and did not flinch.
Fake newsRais wa Ukraine keshatoroka Kyiv.
Jamaa alirekodi video akiwa mitaani siku chache kabla, sasa ndio ajifanya kuzitupia mtandaoni kudanganya kuwa bado yumo Kyiv. Huyu masanja wa Ukraine kweli ni muigizaji mahiri.
======
Russian State Duma speaker Vyacheslav Volodin said Saturday that Ukrainian President Volodymyr Zelensky had left Kiev for Lvov; he added that Zelensky had already departed the Ukrainian capital as of yesterday.
"Zelensky hastily left Kiev. He was not in the capital of Ukraine yesterday. Together with his entourage, he fled to the city of Lvov, where he and his assistants were equipped with a place to live," Volodin wrote in his Telegram channel.
Volodin also noted that all the videos that Zelensky publishes on social networks were recorded in advance. According to him, information about Zelensky's departure to Lvov came from deputies of the Rada, Ukraine's legislature.
Ilo la kuwekea silaha chini lime kataliwa mkuu.Ni kwa sababu mazungumzo yanaendelea baada ya Rais wa Ukraine kusema yupo tayari kuzungumza na Russia juu ya neutrality status... Yaani Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.. Jambo ambalo putin kalikubali haraka na kupendekeza mazungumzo yaanze mara moja huko Minsk Belarus lakini Zelenky anataka yafanyikie Poland Warsaw.. Hivyo mazungumzo bado yanaendelea ni wapi wakutane ingawa Putin anasisitiza lazima yafanyikie Minsk Belarus..
NA ameshamwagizwa Rais wa nchi hiyo kuandaa logistics.
Lakini pia amesisitiza kuwa Rais wa Ukraine awaambie Askari wake waweke silaha chini.
Kimsingi Rais wa Ukraine ni kama ashawasaliti magharibi baada ya kuona hawana msaada wowote.
Anaona ni bora akubali yaishe.
Mtaona unafiki wa nchi za magharibi, watakapofanya mazungumzo na Russia na kuafikiana watamgeuka kabisa Zelensky na kuanzisha upinzani mpya.
Sahii kabisa[emoji4]Vita vina propaganda za hatari ukute huyu raisi anaongea hivyo anaelekeza utaratibu wa kupigana kumbe yuko new York tayari
Wanajitekenya na kucheka wenyewe[emoji4]Hadi sasa sielewi kwa nini Putin atake kumuua kiongozi ambaye hatakuwa Rais tena endapo wataichukua Ukraine
Kwani kuna shida gani kuwa kibaraka wa NATO?
Huu mchezo hauhitaji hasira bwashee[emoji4]Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Hizo silaha Ukraine sinatumwa kwa ungo?BREAKING NEWS.
Bulgaria,Canada na Uingereza zimefunga Anga lao kwa ndege zote za Urusi.
Ufaransa inatuma Siraha za kivita Ukraine.
White House imeomba kibali kwa Bunge la Congress kutoa msaada wa $ 6.4B kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Chakushangaza,Uturuki imesema haitazuia Meli za Jeshi la Urusi kupita Actic Bay inayodhibitiwa na Uturuki kuelekea Black Sea.
Marafiki wakweli huonekana wakati wa Shida. Uturuki na Ujerumani sioni haja yao kuwa NATO make walishawekwa kwenye Mfuko wa Russia.
Hapa,Naona Russia akichelewa kuiteka Kiev Kabla ya J3 atapata Shida kubwa Sana. Anatakiwa kuuteka mji Mkuu Kabla ya mda huo make Nchi Nyingi zilizokuwa Kimya Sasa Zimeanza kuonesha ukinzani kwa Urusi.
Ikumbukwe kuwa,Ukraine inahitaji Siraha TU za Kujilinda dhidi ya Vifaru na Ndege za Urusi. Make Haina Uwezo wa Kuishambulia Urusi.
Baadi ya Wanajeshi wa Urusi wametekwa kwenye Picha hapo Chini.
Wewe unayeogopa hata kivuli chako?Tanzania kuitawala hata panya anawezaTutapigana mwanzo mwisho
Sasa niambie nini kiini cha Putin kuivamia ukraine, nchi huru yenye katiba yake na uhuru wa kuamua wanayoyataka (ukraine ilishaomba kujiunga na NATO ,ambayo ni uamuzi wake na putin hataki hili anaona NATO watakua dirishani kwake!,but why we waste our time discussing ukraine?elewa mpaka wetu na Mozambique 🇲🇿 kuna vita labda hujui mkuu!)Ndicho hiki kinachotokea Ukraine ?
Kuwa serious basi empty headHizo silaha Ukraine sinatumwa kwa ungo?
Maana mpk Sasa mipaka , anga na airport zote ziko chini ya majeshi ya Russia.
Au ndo ile kujitekenya na kucheka mwnyw?
Kulinganisha Russia na kwamba leo Mkoloni akirudi Tanzania is comparing oranges na sungwi....Sasa niambie nini kiini cha Putin kuivamia ukraine, nchi huru yenye katiba yake na uhuru wa kuamua wanayoyataka (ukraine ilishaomba kujiunga na NATO ,ambayo ni uamuzi wake na putin hataki hili anaona NATO watakua dirishani kwake!,but why we waste our time discussing ukraine?elewa mpaka wetu na Mozambique 🇲🇿 kuna vita labda hujui mkuu!)
Cheki video hii wanajeshi wa Ukraine waliosalimu amri kwa majeshi ya Russia wakisafirishwa kuingia CrimeaIlo la kuwekea silaha chini lime kataliwa mkuu.
Hawa wajeda wa Ukraine waliosalimu amri kwa majeshi ya Russia, wanasafirishwa kuingia CrimeaSi mwingine tu bali kama mleta mada.
Yumkini kundi la mleta mada limeangaziwa humu: