Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

Mkuu muda mwingine shirikisha ubongo wako ili facts ziwepo, wewe unajua kiini cha mgogoro ule?let's me ask you swali dogo tu,hivi mwingereza akiamua kuvamia Tanzania akidai lilikua koloni lake, nini msimamo wako kwa hili?,pls nijibu then we can carry on na mada yako.
Tutapigana mwanzo mwisho
 
Watu wengi wa africa hasa Tanzania wanaujinga mwingi sana.. ndio maana vijana wadogo Kama sabaya wanawashika maskio

Sishangai kwanini tulitawaliwa na mpaka sasa wengi tukiendeshwa, wazungu wanajua haki zao.

Yani mtu kaja nyumbani kwako afu wewe ukimbie uiache familia? Na mbaya zaidi unaweza kufa vile vile ama usirudi nyumbani maisha yote sasa si heri ufe

Level ya kujitambua bado iko chini sana, nchi zote unazoona ziko vzuri now ujue Kuna time watu walikufa kutetea nchi zao sio kukubali kuwa watumwa tena kalne hii
 
Not many politicians would choose to stay and fight when a superior army is gaining towards their position and they are the number 1 target of said army. Now whether he makes it or not, he will go down as a president that looked death in the eye and did not flinch.
Whaat a man, mwamba sana
 
Rais wa Ukraine keshatoroka Kyiv.

Jamaa alirekodi video akiwa mitaani siku chache kabla, sasa ndio ajifanya kuzitupia mtandaoni kudanganya kuwa bado yumo Kyiv. Huyu masanja wa Ukraine kweli ni muigizaji mahiri.
======


Russian State Duma speaker Vyacheslav Volodin said Saturday that Ukrainian President Volodymyr Zelensky had left Kiev for Lvov; he added that Zelensky had already departed the Ukrainian capital as of yesterday.

"Zelensky hastily left Kiev. He was not in the capital of Ukraine yesterday. Together with his entourage, he fled to the city of Lvov, where he and his assistants were equipped with a place to live," Volodin wrote in his Telegram channel.
Volodin also noted that all the videos that Zelensky publishes on social networks were recorded in advance. According to him, information about Zelensky's departure to Lvov came from deputies of the Rada, Ukraine's legislature.
Fake news
 
Ukiwa mbabe kuna watu wanakucheki tu.
Sio wanakuogopa.
Wanakuheshimu tu.
Nasuburia brother kiduku atoe support
 
Ni kwa sababu mazungumzo yanaendelea baada ya Rais wa Ukraine kusema yupo tayari kuzungumza na Russia juu ya neutrality status... Yaani Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.. Jambo ambalo putin kalikubali haraka na kupendekeza mazungumzo yaanze mara moja huko Minsk Belarus lakini Zelenky anataka yafanyikie Poland Warsaw.. Hivyo mazungumzo bado yanaendelea ni wapi wakutane ingawa Putin anasisitiza lazima yafanyikie Minsk Belarus..
NA ameshamwagizwa Rais wa nchi hiyo kuandaa logistics.
Lakini pia amesisitiza kuwa Rais wa Ukraine awaambie Askari wake waweke silaha chini.
Kimsingi Rais wa Ukraine ni kama ashawasaliti magharibi baada ya kuona hawana msaada wowote.
Anaona ni bora akubali yaishe.

Mtaona unafiki wa nchi za magharibi, watakapofanya mazungumzo na Russia na kuafikiana watamgeuka kabisa Zelensky na kuanzisha upinzani mpya.
Ilo la kuwekea silaha chini lime kataliwa mkuu.
 
Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Huu mchezo hauhitaji hasira bwashee[emoji4]
Umebipu, umepigiwa. Kelele za Nini Sasa?[emoji2]

TULIA DAWA IINGIE
JamiiForums-757781212.jpg
 
BREAKING NEWS.

Bulgaria,Canada na Uingereza zimefunga Anga lao kwa ndege zote za Urusi.

Ufaransa inatuma Siraha za kivita Ukraine.

White House imeomba kibali kwa Bunge la Congress kutoa msaada wa $ 6.4B kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine.

Chakushangaza,Uturuki imesema haitazuia Meli za Jeshi la Urusi kupita Actic Bay inayodhibitiwa na Uturuki kuelekea Black Sea.

Marafiki wakweli huonekana wakati wa Shida. Uturuki na Ujerumani sioni haja yao kuwa NATO make walishawekwa kwenye Mfuko wa Russia.

Hapa,Naona Russia akichelewa kuiteka Kiev Kabla ya J3 atapata Shida kubwa Sana. Anatakiwa kuuteka mji Mkuu Kabla ya mda huo make Nchi Nyingi zilizokuwa Kimya Sasa Zimeanza kuonesha ukinzani kwa Urusi.

Ikumbukwe kuwa,Ukraine inahitaji Siraha TU za Kujilinda dhidi ya Vifaru na Ndege za Urusi. Make Haina Uwezo wa Kuishambulia Urusi.

Baadi ya Wanajeshi wa Urusi wametekwa kwenye Picha hapo Chini.
Hizo silaha Ukraine sinatumwa kwa ungo?
Maana mpk Sasa mipaka , anga na airport zote ziko chini ya majeshi ya Russia.

Au ndo ile kujitekenya na kucheka mwnyw?
 
Ndicho hiki kinachotokea Ukraine ?
Sasa niambie nini kiini cha Putin kuivamia ukraine, nchi huru yenye katiba yake na uhuru wa kuamua wanayoyataka (ukraine ilishaomba kujiunga na NATO ,ambayo ni uamuzi wake na putin hataki hili anaona NATO watakua dirishani kwake!,but why we waste our time discussing ukraine?elewa mpaka wetu na Mozambique 🇲🇿 kuna vita labda hujui mkuu!)
 
Hizo silaha Ukraine sinatumwa kwa ungo?
Maana mpk Sasa mipaka , anga na airport zote ziko chini ya majeshi ya Russia.

Au ndo ile kujitekenya na kucheka mwnyw?
Kuwa serious basi empty head
1388712583.jpg
 
Sasa niambie nini kiini cha Putin kuivamia ukraine, nchi huru yenye katiba yake na uhuru wa kuamua wanayoyataka (ukraine ilishaomba kujiunga na NATO ,ambayo ni uamuzi wake na putin hataki hili anaona NATO watakua dirishani kwake!,but why we waste our time discussing ukraine?elewa mpaka wetu na Mozambique 🇲🇿 kuna vita labda hujui mkuu!)
Kulinganisha Russia na kwamba leo Mkoloni akirudi Tanzania is comparing oranges na sungwi....

Hivi unajua kuna sehemu majimbo ambayo ni Pro Russians na wanataka kujiunga na Russia kama ilivyo sehemu Pro Nato na kuna sehemu Pro Russia; na Katika mikataba waliosaini kipindi USSR inavunjika kulikuwa na makubaliano ya kugawana vitu na Russia iliweka angalizo kuhusu NATO na hiki kinachotokea leo....

Mbili Russia yeye anadai (inategemea kama unakubaliana nae au hapana) kwamba anawasaidia watu wake (majimbo pro russians) ambayo other parts of Ukraine wanaonekana kama Waasi....

Nakukumbusha tu there is two sides of every story na NATO / US wote wana agenda zao bahati mbaya anayeteseka ni average citizen na watu maisha yao kuwa disrupted na haya machafuko.... In the end they are all pawns in a chessboard
 
Hivi angekuwa mama yetu angekataa hiyo offer?
 
Kuna Video Yake Amesema Ndio Mara Yake Ya Mwisho Kumuona Maana Ndio Anaingia Vitani Kufa/Kupona.

Japo Tayari Ameaga.
 
Back
Top Bottom