Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Hapo sasa, badala wampe shehena za silaha wanataka wamtoroshe, hivi Tanzania hatuna hata silaha za spea tumplekeee ili aendelee kupambanaHalafu wakimtorosha nchi amuachie nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa, badala wampe shehena za silaha wanataka wamtoroshe, hivi Tanzania hatuna hata silaha za spea tumplekeee ili aendelee kupambanaHalafu wakimtorosha nchi amuachie nani?
Sasa Kwani walizikimbia nchi zao??.Gaddafi na saddam walisema hvy hvy
Viongozi wa Afrika sidhani.this is a leader to look up to, he stand for his people and the country at large...african leaders should take an example.
Dear, mwanaume mwerevu lazima awe na uwezo wa kupima maji na unga, awe na uwezo wa kupima kina cha maji kwa mti, kabla ya kuyaingia maji hayo.Huo ndio uanaume sasa, nyie wengine mnasindikiza
Kwa comment hii utakuwa mmojawapo wa wale wanaoogolea kwenye upuuzi wa propaganda za CNN na BBC. Pole sana.Mkuu muda mwingine shirikisha ubongo wako ili facts ziwepo, wewe unajua kiini cha mgogoro le?let's me ask you swali dogo tu,hivi mwingereza akiamua kuvamia Tanzania akidai lilikua koloni lake, nini msimamo wako kwa hili?,pls nijibu then we can carry on na mada yako.
Tatizo yule ni kiongozi wa nchi, hawezi kukimbia mapambano maana kuna mamilioni ya wananchi nyuma wanamtizama na kumtegemea yeye, na wengine wanakufa kwa ajili ya nchiDear, mwanaume mwerevu lazima awe na uwezo wa kupima maji na unga, awe na uwezo wa kupima kina cha maji kwa mti, kabla ya kuyaingia maji hayo.
Ngoja tuone mwisho wa mwanaume wa Ukraine utakuwaje
Rais wa Ukraine keshatoroka Kyiv.Tatizo yule ni kiongozi wa nchi, hawezi kukimbia mapambano maana kuna mamilioni ya wananchi nyuma wanamtizama na kumtegemea yeye, na wengine wanakufa kwa ajili ya nchi
Haya kamanda, endeleeni kuvamia mpaka mpate mnachokitaka, mwenye nchi kashawaachia mshindwe nyie tuRais wa Ukraine keshatoroka Kyiv.
Jamaa alirekodi video akiwa mitaani siku chache kabla, sasa ndio ajifanya kuzitupia mtandaoni kudanganya kuwa bado yumo Kyiv. Huyu masanja wa Ukraine kweli ni muigizaji mahiri.
======
Russian State Duma speaker Vyacheslav Volodin said Saturday that Ukrainian President Volodymyr Zelensky had left Kiev for Lvov; he added that Zelensky had already departed the Ukrainian capital as of yesterday.
"Zelensky hastily left Kiev. He was not in the capital of Ukraine yesterday. Together with his entourage, he fled to the city of Lvov, where he and his assistants were equipped with a place to live," Volodin wrote in his Telegram channel.
Volodin also noted that all the videos that Zelensky publishes on social networks were recorded in advance. According to him, information about Zelensky's departure to Lvov came from deputies of the Rada, Ukraine's legislature.
Yaani unataka tuwe wapumbavu wa kuamini tuhuma za Nyani zinazotolewa na Chui?Rais wa Ukraine keshatoroka Kyiv.
Jamaa alirekodi video akiwa mitaani siku chache kabla, sasa ndio ajifanya kuzitupia mtandaoni kudanganya kuwa bado yumo Kyiv. Huyu masanja wa Ukraine kweli ni muigizaji mahiri.
======
Russian State Duma speaker Vyacheslav Volodin said Saturday that Ukrainian President Volodymyr Zelensky had left Kiev for Lvov; he added that Zelensky had already departed the Ukrainian capital as of yesterday.
"Zelensky hastily left Kiev. He was not in the capital of Ukraine yesterday. Together with his entourage, he fled to the city of Lvov, where he and his assistants were equipped with a place to live," Volodin wrote in his Telegram channel.
Volodin also noted that all the videos that Zelensky publishes on social networks were recorded in advance. According to him, information about Zelensky's departure to Lvov came from deputies of the Rada, Ukraine's legislature.
Kuwafia watu wako ni heshima kuliko kuwaacha wakifa peke yaoRaisi wa Ukraine ni mwanaume,mwingine angekuwa keshakimbia
Ndicho hiki kinachotokea Ukraine ?Mkuu muda mwingine shirikisha ubongo wako ili facts ziwepo, wewe unajua kiini cha mgogoro ule?let's me ask you swali dogo tu,hivi mwingereza akiamua kuvamia Tanzania akidai lilikua koloni lake, nini msimamo wako kwa hili?,pls nijibu then we can carry on na mada yako.
Umesoma chanzo cha taarifa?Yaani unataka tuwe wapumbavu wa kuamini tuhuma za Nyani zinazotolewa na Chui?
Chanzo Cha habari ni Ikulu ya Kremlin ambacho kazi yake ni kuwavunja Moyo Wanajeshi wa Ukraine waweke Chini Siraha ili wajipatie ushindi mnono. Washauri Urusi waendelee kupambana,Mambo ya Rais wa Ukraine kutoroka hayasahusu kabisa.
Rais ndiye roho ya nchi, akiwa hai vita havitaisha kwani ataendesha uasi kwa wale wanaomtiiHadi sasa sielewi kwa nini Putin atake kumuua kiongozi ambaye hatakuwa Rais tena endapo wataichukua Ukraine
Putin ni zaidi ya umjuavyo, Marekani na NATO wanamuelewa vyema zaidi yako. Putin anazungumzwa kuwa hana historia ya kushindwa vita yoyote aliyowahipigana kwa milongo miwili (two decades) aliyokaa madarakani.Yaani unataka tuwe wapumbavu wa kuamini tuhuma za Nyani zinazotolewa na Chui?
Chanzo Cha habari ni Ikulu ya Kremlin ambacho kazi yake ni kuwavunja Moyo Wanajeshi wa Ukraine waweke Chini Siraha ili wajipatie ushindi mnono. Washauri Urusi waendelee kupambana,Mambo ya Rais wa Ukraine kutoroka hayasahusu kabisa.
Biblia inasema; Nitampiga mchungaji kondoo watatawanyika.Hadi sasa sielewi kwa nini Putin atake kumuua kiongozi ambaye hatakuwa Rais tena endapo wataichukua Ukraine