Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

Au tunaanza kupoteza ushawishi mkuu, hawa ni wafanya maamuzi huko kwao mkuu, tusiwachukulie poa
 
Tanzania Daima ipo na wajamaa Urusi,China and the likes ko mara nyingi capitalist huwa wanatukwepa na ndo mana hata makao mengi ya makampuni ya kimagharibi yapo Nairobi, Ni kitu ambacho inabidi tubadilike aisee
Huu upande wa ujamaa hauna faida yeyote inabidi tujaribu kuegemea upande wa west tuone itakuwaje

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Inaonyesha hujui hizi safari zinavyopangwa.

Siyo kwamba Seneta yule akifika Nairobi,Stergominor anaweza kumwita hapa.

Mipango lazima ifanywe mapema, lazima kwanza waje huku Secret Service kufanya mine sweeping.

Sidhani kama umemuelewa Msaga Sumu! Tazama hizo picha za Kagame na Ruto halafu tafakari na uelewe vizuri kuna ujumbe mzuri sana
 

Yani na wewe leo watu wote wamekushinda kufikiri! Ujumbe uko kwenye picha zaidi ya hayo maneno aliyo yaandika!
 
Congo tuliufyata!!?...una upungufu wa taarifa kuhusu jwtz Congo,Kenya ni kibaraka wa marekani tangu uhuru na pia Wana utawala mpya,rwanda ndiyo upawa wao congo
 
Kwamba kenya na Rwanda ni Former American Colonies? au kwa Sasa ni American Colonies? Au umeamua TU ilimradi uandike! JF imekua fb Sasa na sio Great Thinker's platform!
Ni kweli makoloni yao mpaka mwisho wa dahari
 
Ni kweli makoloni yao mpaka mwisho wa dahari
Unaweza kulithibitisha Hilo wanajamvi wakakuelewa kuwa hayo mataifa no makoloni ya Amerika na Tanzania ni independent na sio Koloni la Amerika na ndio sababu hawajafika Tanzania? Tusaidie tafadhali tuelewe kwa Maana wengi tunajua sifa za ukoloni uwe wa kale au mambo Leo!
 
Nikithibitishie kivipi!?..kwa nyaraka toka Langley au!?
 
Mkuuu sijawahi kukuelewa kuna siku unaongea point kuna siku unatema Pumba kama hizi hadi aibuuuuu.Hakuna Siri kinachofanyika tz kukandamiza wananchii hakuna anayeweza kukuelewa.wananchii tunanyonywa damu afu wazungu wakae na kupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…