Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

Unajua nini kimewafanya waende huko na si Tanzania? Ungetusaidia 'Issue' . Je, kama ni kufuatilia hali ya haki za binadamu na ufisadi? 🙏🙏🙏
 
kwa hiyo unamaanisha kwamba hao maseneta wameandaa safari yao siku hizi mbili?
 
Uko sahihi. Nchi inaendeshwa kama nchi sio Chama. Nenda US, wewe wa nje hujui cha Republican au Democratic. Au UK sio Labour au Conservative kama chama ni nchi kama nchi. Hata Kenya tu ni hivyo.
Njoo sasa hapa, ni blabla tupu maana CCM ndio nchi na nchi ni CCM mbele. Tutaendelea kudharaulika

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hivi, Ile Tanzania Film company bado ipo kweli, na inatengeneza au na wenyewe wataenda huko kukodi ule mkanda na kusambaza kwetu!!
 
Kwa sasa Tanzania imeshuka Sana kimahusiano kimataifa.wageni wanatupita tu kama vile Tanzania imetengwa na dunia.Pamoja na kuwa wale viwavi jeshi wa kijani kutudanganya kuwa nchi wameifungua lakini wageni wa maana wanatupita tu kama hawatuoni vile.
 
Huyu mwamba kapata masaibu yepi?
 

Attachments

  • 20221006_081835.jpg
    64.8 KB · Views: 5
Nchi inaiba uchaguzi mzima,inatesa,kufunga na kuua wapinzani,unafikiri dunia haioni?
Mama Samia hajakubalika na first world kwa matendo yake maovu....aendelee tu na waarabu wake na kunywesha juice marais wa Afrika ! Ila hao wazungu hasahau!
 
Jamani jamani
Ndo siku ya pili hii. Hiyo ziara ilishapangwa ikapangika na ratiba ikajulikana. Hauwezi kuwadaka hewani maafisa wa US wanapokuwa safarini.

Hii inaonesha mtangulizi wake hakufanya lobbying kwenye mikakati hii. Si kosa lake bana
 
Kenya wana maslahi naye Somalia na Kagame wanaiba nae madini Congo.
Tanzania tuna maslahi nao kwenye Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Nadhani umeelewa Sasa!
 
Congo tuliufyata!!?...una upungufu wa taarifa kuhusu jwtz Congo,Kenya ni kibaraka wa marekani tangu uhuru na pia Wana utawala mpya,rwanda ndiyo upawa wao congo
Taarifa za kupasua matofali uwanja wa taifa?
Ni aibu tupu...
Tanzania hatuna umuhimu wowote katika siasa za East Africa, sembuse duniani..
Tunaonwa kama ling'ombe fulani limekaa pale kwenye sehemu kubwa ya bahari ya Hindi, na halijui hata kuitumia kunufaisha wananchi wake....
 
Kama ndo waliofanya hivyo ulivyouliza basi wanastahili sifa. Mtu aliyeona uhai wa binadamu wenzake hauna thamani na yeye mwisho wake ulistahili kuharakishwa.
 
Ukiiga utashindwa kufika. Buni mtindo wako, ili upate mwendo mrefu. Ya Ruto na Kagame waachie wenyewe, sisi tuna ajenda zetu. Itapofika muda na kutimia kwa ajenda tutawaita.

By the way, si lazima wote msome darasa moja ili mfanikiwe. Wao wakienda EU pengine sisi tutakwenda Dubai N.K.
 
Nchi inayopakana na nchi zote za afrika mashariki isiwe na umuhimu afrika mashariki!!!..elimu na uwezo wako wa kufikiri itakua duni,palikua na coalition of the willing,ililenga kujitenga tz,wamefika wapi!?..hao wa kupasua matofali kagame anawajua vizuri walichomfanta na m23 yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…