Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

Kwamba kenya na Rwanda ni Former American Colonies? au kwa Sasa ni American Colonies? Au umeamua TU ilimradi uandike! JF imekua fb Sasa na sio Great Thinker's platform!
Ukifikiria kwa mtazamo wa neo-colonialism utanielewa...
 
kuna vita ya kiuchumia na ujasusi wa kiuchumi kila mtu na akili yake
 
Lkn mbna mnawapaparikia San mabeber mm ndio maan nilimpenda jiwe Hana muda nao kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inaonyesha hujui hizi safari zinavyopangwa.

Siyo kwamba Seneta yule akifika Nairobi,Stergominor anaweza kumwita hapa.

Mipango lazima ifanywe mapema, lazima kwanza waje huku Secret Service kufanya mine sweeping.
Mijitu mingine haielewe sijui wnataka wazungu waje waaombe ndogo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kweli wewe Ni akili kubwa kbsa hapa katk bodi hii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku mko huko kutembeza bakuli alafu mnajidai eti msiwashobokee
 
Mulamula keshaliwa kichwa ,vuvuzela zenu hazitamrudisha.., mengine ni pumba tuu.
 
Sasa wewe umeandika ujinga gani. Hujui tu hao wamarekani safari yao ina lengo gani. Lengo ni kuzidhalilisha nchi zetu kuzilazimisha kuwaunga mkono kuhusu ukraine. Sasa kama wewe unaliona hilo jema wafuate hao waunga mkono ushoga kigali.
 
Mama Samia ongeza mbio mama, wanazidi kudebweda tu huku.......wanayoongea aibu anaona mtoto wangu wa miaka miwili!

Nakukumbusha mama......fanya jambo Jangwani pale! Kuna booonge la legacy pale; utawapiga kimya cha milele watake wasitake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…