Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

Ndugu zangu nimekuja kuihuisha post yangu

Leo nimejaaliwa kufikisha miaka 2 miezi 11 na siku 10 tangu niache punyeto na kuangalia picha za ngono.sasa nipo huru na furaha tele

Kikubwa ni kuwapa moyo ndugu zangu mlio katika kupambana na uraibu huu,inawezekana kwa kuamua kwa dhati na kujitoa kwelikweli,maelezo mengine yapo kwenye post hiyo hapo juu

Mungu awabariki na kila LA heri.
 
Sasa kwani punyeto ni jinai,si ni starehe kama starehe zingine.
Sioni cha ajabu hapo,maana ni mbadala ya kuwa na mwanamke,sasa ukishapata/oa mwanamke si unaacha tu.
 
Sasa kwani punyeto ni jinai,si ni starehe kama starehe zingine.
Sioni cha ajabu hapo,maana ni mbadala ya kuwa na mwanamke,sasa ukishapata/oa mwanamke si unaacha tu.
Only if kuacha ingekuwa easy that way
 
Punyeto wewe unanifanya nakosa furaha yakuishi

Kiufupi nimepitia huu uzi nimepata hari mpya yakuanza tena mapambano yakuacha punyeto, nilipoingia 2022 niliapa sitofanya tena ila hadi leo nimeshafanya mara nne mara ya nne nilifanya jana baada yakupita kwenye group moja la WhatsApp mara paap nikakutana na video ya ngono kuna mpuuzi aliituma kimakosa nikajikuta nimepiga na baada ya hapo nikaifuta

Najutia sana maana nimeshaanza kuona madhara yake na nimedhamiria kuacha kweli nataka niache kuhesabu siku na mimi nitaweka mrejesho hapa.


Siku ya kwanza leo 19.01.22
 
Wanawake woooooooooote mtaani wamejaa tele niwaache nikapige nyeto! Hell NOooooo
 
Oyeee
 
Countdown 6days bila dhambi la punyeto

Nakuchukia sana punyeto wew ni adui yangu mkubwa usirudie kuwa karibu nami!

Eeh Mwenyezi Mungu nisaidie.
 
Wamechora mstari wanashindana nan atarusha mbali kwa punyeto.....alinisimulia x wangu aliyesoma old Moshi sec miaka hiyo
 
Poleni sana wandugu. Tafuteni mademu wakuu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama umeshakuwa addicted na punyeto huwezi kuhiacha kwa kujiapiza au kujiamulia tu....... Subiri siku inakupa fedheha ndio utajikuta unahiacha automatic....
Ninaandika hivi kutokana na experience yangu binafsi
 
Punyere addiction is overrated, haina uraibu wa kiivyo mpaka watu wa struggle kweikweli ku-quit.
Hongera sana Kaka, Cha msingi sana jitahidi kumwomba sana Mungu.

Mi pia ni miongoni mwa waathirika wa kipindi hicho toka 2004 - 2013, tena nilikuwa naweza kupiga hata goli 6 kwa siku 1.

Nilijitahidi sana kuacha hata kwa miezi mitatu, lakini nilipokumbuka tu nilirudi kwa kasi ile ile.

Nilifunga na kuomba Mungu anisaidie kuondokana na huo mtihani.

Namshukuru sana Mungu maana tangu 2013 - 2022 hivi sasa sijui nini maana ya punyeto.
 
Punyeto katika ulimwengu wa kiroho ni mbaya sana. Niliwahi simuliwa na mchungaji mmoja ilinibidi nikate shauri kabisa na kuweka nguvu kupingana nayo kipindi cha ujana wangu. niliambiwa katikaulimwengu wa kiroho punyeto ni kafala ya pili ya kwanza ni ile ya kutoa uhai wa binadamu na ya pili ni punyeto
 
Daaah
 
Acha ujinga tafuta mke uoe
 
Hakuna mwanaume hajawahi kupiga punyenye
 
Jana nusu ninase kwenye mtego kifala saaana, yaan nimekaa zaidi ya miaka mi 3 bila hiyo kitu halafu kijinga jinga tu nilitaka nijae daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…