Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

Hela chafu hazitakiwi. tunaithamini elfu moja iliyotoka kwa mtu msafi kuliko bilioni iliyotoka kwa fisadi. upo?
hata hiyo alfu moja hakuna kwanza nyinyi mnalalama mitandaoni tu wakati hata mia mbovu hamtoi
kwahiyo hamna watu laki moja kila mmoja atoe alfu moja mpate milioni 100?
jibu ni hamna
 
Umeshabiwa kuwa hakuna mafisadi. Fisadi moja la CCM linaweza itoa hiyo pesa ndani ya dakika 10.
 
CHADEMA haina wanachama Sasa kwanini hamtaki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
Kama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
Jnyie si vibaka mana hionela inaweza kutolewa na kibakanwenu mmoja. Imagine mtu mmoja anaweza kuliibia taifa 1billion mtashindwa kuchanga kwa kishindo muwacheke chadema
 
Chadema sio genge la mafisadi hiyo yanga inaongozwa na nan au hujui kuwa viongozi wake ni ccm ambayo ni mafisadi, matekaji na mafiraji. By the way usilinganishe chadema na goons.

Unamaanisha nani Pale YANGA ndio fisadi👈

wkt pesa zimechangwa na wananchi chap
 
apo unatakiwa ulie 🤣 mil 70 nchi nzima
yooh jua kwamba zinatoka kwa watu wasiotaka kujulikana kama walichanga, wasiotaka favour yoyote mbeleNI
Just writting history in their HEARTS, simply pure PASSION
 
yooh jua kwamba zinatoka kwa watu wasiotaka kujulikana kama walichanga, wasiotaka favour yoyote mbeleNI
Just writting history in their HEARTS, simply pure PASSION
Acha maelezo mengi, kiuhalisia hata hio mil 70 tunawajua vizuri kwa taarifa za uongo! wewe unachangisha vp nchi nzima mil 70, maana yake ushawishi wako umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…