Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

Acha maelezo mengi, kiuhalisia hata hio mil 70 tunawajua vizuri kwa taarifa za uongo! wewe unachangisha vp nchi nzima mil 70, maana yake ushawishi wako umeisha
wewe ulipopata 98% unafikiria kila mtu anafabricate nenda voda wakupe statement na analysis za miamala japo mimi sijachangia
 
wewe ulipopata 98% unafikiria kila mtu anafabricate nenda voda wakupe statement na analysis za miamala japo mimi sijachangia
nan anahangaika na chama kilichokufa, bila mada hizi huezi kummbuka kuna chama kilikuepo
 
Hakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu

Hii ni rekodi ya ajabu Sana!
Hamtapenda kusikia ila kwenye hiyo michango kuna vijisenti vya wanaCCM ndani yake
Kwa hiyo siyo dhambi kuwashukuru wanaCCM wanao support harakati za mabadiliko nchini.
 
Maelezo mengi lakini hayatoi justification yoyote ya chama kikubwa kama Chadema kuweza kukusanya fedha kiasi kidogo kama hicho.
 
Hakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu

Hii ni rekodi ya ajabu Sana!

UPDATES
××××××××
Taarifa Mpya zinaeleza kwamba sasa ni zaidi ya Mil 100, tunakimbilia mil 200
Naona tu watu wanachangishana mitandaoni na naomba kujua kwani hizo pesa zinahitajika na chadema za kazi gani haswa?
 
bro mbona kama upo out of this world, hope unajichetua sio akili yako halisi, anyway cheers keep doing what you do, make that bread
70M the whole country unataka tukiite vp icho kikundi 🤣 , dead ndo jina halisi
 
Hakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu

Hii ni rekodi ya ajabu Sana!

UPDATES
××××××××
Taarifa Mpya zinaeleza kwamba sasa ni zaidi ya Mil 100, tunakimbilia mil 200
Lumumba HQ wawe na stock kubwa sana ya mboga za mchicha na vitunguu swaumu kwa ajili ya kupunguza sukari kwenye damu na presha.
 
Mkutano wa Baraza kuu
Ambao utawahusisha wananchi au viongozi tu, na kama ni viongozi tu mbona ni hela nyingi inayoombwa wakati cha maana hapo ni hela ya kukodi ukumbi na viti tu au mimi ndo sielewi aisee
 
Hizo zote atakula Heche, kwa mtindo huo lissu ataendelea kusota selo ili Heche afaidi matone tone!!
 
Ambao utawahusisha wananchi au viongozi tu, na kama ni viongozi tu mbona ni hela nyingi inayoombwa wakati cha maana hapo ni hela ya kukodi ukumbi na viti tu au mimi ndo sielewi aisee
Hi kweli huelewi na muda wa kukuelewesha hatuna
 
Haichangiwi na wauza unga, bali wananchi masikini.

Jnyie si vibaka mana hionela inaweza kutolewa na kibakanwenu mmoja. Imagine mtu mmoja anaweza kuliibia taifa 1billion mtashindwa kuchanga kwa kishindo muwacheke chadema
Nimewashauri mtoe buku buku au hata hio hamna??
Basi kama hamna hata buku saa ngapi utaweza kwenda kupiga kura wakati hata buku huna
Na mnawaouunga mkono Chadema nchi mzima mko wangapi?
Maana mngefika hata laki 3 na kila mmoja atoe buku ingekuwa ni ndani saa moja mnapata milioni 300
Au hata na hesabu hamjui???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…