Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

NA NYIE PINGUZENU MICHANGO N DIO MAANA MMEANZA KUTOAMINIANA KILA SIKU MICHANGO

PELEKEN KWA YATIMA
 
Kupiga kura huhitaji kutoa hata sent tano. Ukitaka kujua michango ya hiyari ni tatizo, itisha michango kwenye ukoo wenu hata wa shilingi 2,000 kima cha chini, uone utapata kiasi gani. Kisha uje utoe mrejesho hapa.
 
NA NYIE PINGUZENU MICHANGO N DIO MAANA MMEANZA KUTOAMINIANA KILA SIKU MICHANGO

PELEKEN KWA YATIMA
Chama kinaendeshwa na wanachama, kitaachaje kuchangiwa? Ama unadhani hicho chama ni kundi la wafanyabiashara? Inaonekana propaganda za ccm zimekuteka, na sasa unazitumia kutoa angalizo.
 
Hakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu

Hii ni rekodi ya ajabu Sana!

UPDATES
Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—Γ—
Taarifa Mpya zinaeleza kwamba sasa ni zaidi ya Mil 100, tunakimbilia mil 200
Mnamuandalia heche maokoto ya kula bata amakweli wajinga ndio waliwao
 
Wewe ni mpumbavu. Unaongea kwa uchungu wa wivu kwa chadema
 
Mbona wewe ***** unaumia sana na chadema? Meza panadol
 
Kama kweli mnapendwa na nchi nzima ilitakiwa iwe billioni 70 sio milioni 70 kwa siku 5
Suala siyo zimefika shilingi ngapi?Hao wanaotoa hiyo michango wana uchumi wa kiwango kipi?Ukitumia akili kidogo tu, huwezi kuuliza swali kama hilo.Tena inaitwa tonetone na wala siyo ile "TIENITIENI KWA MOYO MMOJA"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…