Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
ccm wanafanya biashara zakizamani sana wameishiwa hoja kabisaWaarabu bado wanaendelea na biashara yao japo hawavai kanzu.
Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.
Wewe nawe kumbe bolizozo kwani hujui hivyo vyote vishauzwa na serikali ya ccm, au mwenzetu nawe bendera ya chama unapepea polepole akisema.Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.
Toka lini mwana ccm akaiamini Chadema ? Kwanza jifunze kuandika vizuri ,hivi elimu ya polepole haijawasaidia?Du,kuanzia leo siiamin chadema kamwe,,hawa viongoz wake nirahis sana kuuza nchi wakipewa madaraka ukiona chama kina kiongoz ngaz ya ubunge ananunulika kipumbavu namna hii pamoja nakua ameshapewa shangingi namakorombwezo yakutosha,sasa huyo siku akiwa wazir wamadin sindoatatuuza mpaka ss wanachi,,?hawa watu hawafai kabisa
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Huwezi kupata picha ikiwa huna akili za ziada mpaka usubiri uambiwe na mwenyekiti au polepole nini cha kufanya.Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Wewe nani alikuandaa kuwa mama? Mbona umejitahidi tuuSipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Vipi kuhusu wale wanaonunua? Wamezoea kuuza rasilimali za nchi sasa wameamua kununua upinzani.
uko sawa lkn siasa mpaka wakati wa kampeni 2020,vijana utawapata je?Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.