Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

Status
Not open for further replies.

Zapa RadioFm

Senior Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
112
Reaction score
171
Kuna Taarifa tunaendelea kuzifatilia zinasema Mbunge mwingine wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ameshafikia Bei La fungu na Mandalizi ya Mwisho yanaendelea na Ndani ya siku Saba kwanzia Leo atatimkia CCM

Tunaendelea kufatilia Tutawajuza nini Kinaendelea
 
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
 
Du,kuanzia leo siiamin chadema kamwe,,hawa viongoz wake nirahis sana kuuza nchi wakipewa madaraka ukiona chama kina kiongoz ngaz ya ubunge ananunulika kipumbavu namna hii pamoja nakua ameshapewa shangingi namakorombwezo yakutosha,sasa huyo siku akiwa wazir wamadin sindoatatuuza mpaka ss wanachi,,?hawa watu hawafai kabisa
 
Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.
 
Kwani waliofanya ufisadi wa kutisha nchi hii na kuingia mikataba ya kifisadi ya rasilimali mbali mbali za nchi ni wa chama gani vile!?

Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.
 
Huyo akitoka wapo wengine ambao wanaisubiri hiyo nafasi kwa hamu wanatamani hata afe...Chadema ni kama basi anashuka mtu wanapanda watu.
Lisu alishasema kuna tofauti ya mtu aliyeenda bungeni kwa ajili ya kuibana na kuikosoa serikali itekeleze jambo fulani na walioenda bungeni kwa kutanguliza matumbo mbele
 
Mtumwa siku zote ni watu wenye miili yenye nguvu lakini mmiliki wa mtumwa hiwa na nguvu ya ziada, fedha, mamlaka, silaha n.k.

Je wale wanaonunuliwa ni sawa na watumwa? Je wanao wanunua ni wa kina nani? Wale wanaotengeneza mkakati wa wenzao kununuliwa tuwaitaje?

Bangi na madawa ya kulevya hayauzwi hadharani vivyo hivyo rushwa na biashara ya utumwa inafanywa gizani.

Usikubali kununuliwa kizembe
 
Na hakika hao ndio wangekuwa Mawaziri wa Nchi hii. Kabla ya kununuliwa wangekuwa wameishauza raia wote wa nchi hii, wangekuwa wameuza mbuga zetu, wangekuwa wameishauza Maliasili zote za nchi.
Wewe nawe kumbe bolizozo kwani hujui hivyo vyote vishauzwa na serikali ya ccm, au mwenzetu nawe bendera ya chama unapepea polepole akisema.
 
Du,kuanzia leo siiamin chadema kamwe,,hawa viongoz wake nirahis sana kuuza nchi wakipewa madaraka ukiona chama kina kiongoz ngaz ya ubunge ananunulika kipumbavu namna hii pamoja nakua ameshapewa shangingi namakorombwezo yakutosha,sasa huyo siku akiwa wazir wamadin sindoatatuuza mpaka ss wanachi,,?hawa watu hawafai kabisa
Toka lini mwana ccm akaiamini Chadema ? Kwanza jifunze kuandika vizuri ,hivi elimu ya polepole haijawasaidia?
 
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.

Vipi kuhusu wale wanaonunua? Wamezoea kuuza rasilimali za nchi sasa wameamua kununua upinzani.
 
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Huwezi kupata picha ikiwa huna akili za ziada mpaka usubiri uambiwe na mwenyekiti au polepole nini cha kufanya.
 
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.
Wewe nani alikuandaa kuwa mama? Mbona umejitahidi tuu
 
uko sawa lkn siasa mpaka wakati wa kampeni 2020,vijana utawapata je?
 
Sipati picha kama hiki chama kingepewa nchi,halafu kati ya wabunge wanaodai kununuliwa mmoja angekuwa waziri wa ulinzi,mwingnne waziri wa mambo ya ndani,sijui Tanzania ingekuwa wapi kwa mfano.
inavyoonekana kuna vyama haviandai wanachama wao kuwa viongozi,na wanapopata uongozi bado hawbndaliwa kuwa viongozi.
ni hatari sana kwa nchi kuwa na watu wanaonunulika huku vyama vyao vikiwaamini.
kama mnataka nchi basi andaeni kizazi kipya cha viongozi.
kuweni na wanachama chipukizi watakaolelewa ktk misingi na itikadi ya kuamini vyama vyao.
SIASA NI KUJIPANGA,UKIKOSEA MCHEZO UMELIWA.

Wasiwasi wako tu. Utawezaje kupima hivyo kabla hakijaingia madarakani? Ni kama viongozi: nani alijua Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli wangekuwa viongozi wakuu wa Tanzania? Nani alijua Majaliwa angekuwa Waziri Mkuu? Nani alijua Lukuvi angekuwa waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendelezo ya Makazi. Lakini si leo ndio viongozi wetu na wengine wameshamaliza muda wao. Kwa hiyo, hatuwezi kusema x au y hawezi kuwa kiongozi kabla ya kupata hiyo fursa ya kuongoza. Hivyo, hivyo hata kwa chama cha siasa. Hatuwezi kusema chama fulani hakiwezi kuwa chama tawala kabla ya kupata hiyo fursa. Mbona hata baadhi ya vyama tawala vinaondolewa madarakani kama hiyo ndiyo logic?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom