Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

Status
Not open for further replies.
mm sijui nimlaumu mnunuzi au bidhaa....yani wanachama wa chadma.
 
Hayawani Gekule sio gunia kama hao magunia mliowanunua fisi wewe
Hiyo turn-up ni ndogo, siku saba zote mtu mmoja!
 
unawashangaa wabunge chadema kuuza ubunge wakati ccm waliuza migodi yote kwa wageni kwa hasara kubwa kwa nchi,leo Magu anaonekana mkombozi kwa kudai madini yawanufaishe watz wakati ccm ndiyo iliyogawa kirushwa rushwa.
 
Biashara yoyote ina MTEJA ama mnunuzi PIA MUUZAJI ama mwenye bidhaa SASA HAPA ANYENUNUA MIMI NAMJUA niambieni MNUNUZI ni nani ?
 
ni yule dada wa viti maalum aliepewa ubunge wa CHADEMA wakati bado yuko CCM?.....Paulina Gekul sio rahisi kuhama
 
Huu ni ufisadi wa aina yake,lakini kwasababu unafanyika ndani ya kasri ya mfalme hatuna jinsi
 
Na hata wanaokununua hawatakuamini tena. Wanajiua kisiasa. Anyway nina hamu ya kuona UPINZANI NDANI YA CCM. Nausubiri KWA HAMU SANA
 
Kuna waandishi na wachangiaji wengine humu wanashangilia hamahama hii ya viongozi wa kuchaguliwa kwa furaha ya ajabu! Wanasahau jambo moja la maana sana kuwa uchaguzi ni gharama na gharama hizo hazibebwi na mwingine bali walipakodi maskini wa nchi hii. Badala ya kukemea tabia hii ya kipuuzi inayowanyima ndugu zetu maji safi, barabara na dawa mahospitalini tunachekelea na kushangilia as if hazina yetu imeongezewa chochote!
Hawa wanaohama walitakiwa kushtakiwa kwa kuitia nchi hasara kwani naamini hakina bajeti yao.
Tuwazodoe ili waache ulimbukeni wao!
 
Msikurupuke ngojeni yatimie ndio mseme mnalolitaka. Pengine mleta mada anajifurahisha
 
acha porojo wewe hakuna mtu wa hivyo babati naona unataka attention tu
 
Simlaumu anayenunua bali anayenunuliwa. Chama kina viongozi ambao wananunulika harafu munataka tuwaamini kutulindia rasilimali zetu? hapana.
 
Hu nao ni uongo ka uongo mwingine ngoja tuone isije ikawa yaaaaaaaaaaaa.
 
Mpumbavu atailaumu chadema
Ila mwerevu ataidharau Ccm
Badala ya pesa kutumika kwenye shughuli za maendeleo zinatumika kunufaisha wachache

Huu ni ufisadi Mamboleo
 
huyo atakuwa ni yule mbunge mwene kiti tu...tuendelee kusubiri
 
Hebu fikiria kwa makini mkuu..wakulaumiwa hapo ni Cdm au mbunge?..chama hakiwezi kuwa na uwezo wa kuhakiki mioyo ya watu inawaza nni!Lawama kubwa ni kwa mnunuaji ..maana ni sawa na kumrubuni mwanamke mzr wa mwenzio..kweli atakuja kwako lkn unauhakika utadumu naye maana akitokea jamaa mwingine anayekuzidi atamchukua!Kibaya zaidi eti ccm inawateua tena hao malaya kugombea..anyway endeleeni kuvurugana!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…