Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

Status
Not open for further replies.
maoni yako huenda yakawa sawa lakini baadhi ya watu ni wadhaifu kuliko wanavyonekana na hivyo msemo ya kizungu 'ukishindwa kupambana nao jiunge nao huenda unashika nafasi kumbuka jamii nzima iko kirushwa rushwa tu, wako huku kusaka nafasi na baada ya hapo matumbo huridhishwa kwanza.
 
Tegeni Camera,
Mtengeneze viflash
Kisha muite press conference
Muanike hadharani
Sio mkiona hamuelewani humo ndani...., mnakimbilia mitandaoni kujihami.
Napata tabu na dhana ya kuhongwa, kwani value ya mbunge sasa ni billioni, je mnataka kutuambia kuwa wanapewa kiasi hicho...
Na kama wanapewa je credibility ya wanachama wenu iko wapi...

Nimegundua leo kuwa tatizo sio tume bali ni umasikini na rushwa baaaas
Kama mtu anayejielewa
Mwenye thaman ya mamia ya mamilioni anahongwa na akahongeka...
Itakuwaje kwa mbumbumbu asiye mbele wala nyuma
Mwenye thamani ya viroba, sigara au bangi ...?
Huyu kwangu ni wa kusukuma kama mlevi.
 
Anaenunua vipi au huyo yuko sawa kabisa kwa mtazamo wako?
 
naungana na wewe ifike wakati CHADEMA waseme wametumia haki yao ya kidemokrasia waache wahame badala ya kulalamika kuwa wananunuliwa hata kama ni kweli malalamiko yanachangia kuonyesha kuwa chama hakikuandaa viongozi wazuri ambao wako tayari kujitoa kwa ajili ya wananchi.
 
ni bora chama kibaki na watu wachache wanaoweza kuwa waaminifu kwa wananchi na hii inatokana na utaratibu mbovu wa kuwapata hawa viongozi mkubali msikubali dhambi ya kupendeleana ndio inayoitafuna chama kikubwa cha upinzani chadema.
hebu kijipange upya na kisimame kama mwanzo kimeyumbushwa na wakuja na matokeo yake yamekuwa ya hovyo sana.
 
Unaweza ukakuta hata hawanunuliwi ila wamechoka na yaliyopo huko.
 
80% ya viongozi wa upinzani walitokea sisiemu so wakirudi sio issue wala sio kununuliwa. Ni sasa na mwanamke, akiwa kwako fresh tu ila akikuacha ili kupoza maumivu unaanza kumvumishia malaya. Kikubwa upinzani waandae viongozi wao. How come akitoka ccm mnasema kamanda anapigania demokrasia ila akirudi kwao msaliti.? Malofa wakubwa, amkeni nyie. Ujinga umewaganda kama ........! Mapimbi wakubwa, hv mnajitia ujuha msiokuwa nao kuwa hamjui hawa walikuwa wapi? Pumbavu sana nyinyi.
 
Kwani waliofanya ufisadi wa kutisha nchi hii na kuingia mikataba ya kifisadi ya rasilimali mbali mbali za nchi ni wa chama gani vile!?
Basi kwa akili yako hapo utasema waliokuwa ukawa wote wasafi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa dharaaaaau. Umesahau hata historia ya vyama vya siasa tz na hao viongozi wako. Akili za kuambiwa ...................!
 
Acha kukurupuka na kuropoka pumba. Ukiingia mahali tulizana ili ujue kwa kina yale yanayojiri badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.

Basi kwa akili yako hapo utasema waliokuwa ukawa wote wasafi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa dharaaaaau. Umesahau hata historia ya vyama vya siasa tz na hao viongozi wako. Akili za kuambiwa ...................!
 
Ilikuepo hiyo chadema enzi za kina John Mnyika, Mdee etc ila toka walipoanza kuchukua mamluki toka CCM wakiongozwa na Ngoyai ndo tena....
 
Naukiona chama au serekali inahangaika nakununua watu ujuwe sekali hiyo muumba haridhiki nayo na haipotayari kutumikia wananchi pia haijuwi nini wananchi wanataka imekosa dira haijui hatamaendeleo ni nini hivi hawa wapinzani nani angewasikiliza kama serekali ingetimiza wajibu wake angalau nusu ya matarajio?ushauri wangu nikuendelea kuchagua upinzani hao wanaowanunua sio wapiga kura ni wachaguliwa kwa mfano ndugu zangu ukifanya biashara wakati mungine huwa kuna hasara lakini suluhisho siokuacha biashara nikuendelea upowakati utapata faida kama ndugu zangu wamahindi mwaka Jana walipata faida sasa mwaka huu ndio hivyo tena tuendelee kuchagua upinzani tutapata watu safi na pia wanunuzi wa wachaguliwa watachoka
 
duh mnyeti ndani ya mkoa mpya kashamnunua yule mdada duh. maisha haya shida. yaani mbunge mzima unanunulika kama bidhaa...
 
nasikua pale magogoni kuna kitengo maalumu cha kununua viongozi wa upinzani. bajeti hutengwa na serikali. hakika ni aibu kubwa sana kwa kweli....
 
UWEKEZAJI VIWANDANI...!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…