Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

Siku aliyozaliwa Yesu bado Kitendawili

Weka ushahidi wapagani walikuwa wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu

Na usiku wa Leo wewe utakuwa unasherekea miaka 2023 toka Yesu aondoke, kumbuka tarehe zilianza kuhesabiwa toka Yesu alivyosema atarudi
Ushahidi si utafute tu kwamba Christmas ni sikukuu ya kipagani,askofu kilaini alishayasema haya,na kilaini ndiye bingwa wa historia ya kanisa,sikuu zote Christmas na pasaka kusherekewa kipindi Cha baridi(winter) ni sikukuu za kipagani ambayo kanisa la Roma kuwapoza wapagani wa kirumi ili wasione dini mpya nzito,likaziweka kuwa sikukuu za kidini
 
Dhumuni la Christmas ni kusherehekea Nini? Wakristo wanasherehekea Nini?

Wewe kuzalia sikukuu ya wajinga ,ukiwa unasherekea utasema unasherekea sikukuu ya wajinga au kuzaliwa kwako?
 
Biblia si imeweka wazi Maryam alipata mimba lini!?..,na inasema siku za kuzaa zikatimia,akajifingua,Sasa kwa nini zisitumiwe hizo tarehe kusherehekea kuzaliwa kwa yesu waende kuweka sherehe hizo tarehe nyingine zinazoshabihiana na sherehe za wapagani!?
 
Luka 1:26 mimba imetungwa mwezi wa SITA,so yesu kazaliwa machi,kwa nini isiwe machi hiyo xmass badala yake imekua disemba na kanisa biblia wanayo!?
 
Mokiti kuna Kitabu nilikuwa nacho sijui kiko wapi,Ila nikipata nitaleta ushahidi WA hizo sikukuu za kipagani
 
Tarehe inaweza kuwa sawa ila dhumuni likawa tofauti
Hakuna ushahidi wapagani walisherekea kuzaliwa kwa Yesu
Ila Kuna ushahidi mpaka Leo wakristo wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu
 
Biblia si imeweka wazi Maryam alipata mimba lini!?..,na inasema siku za kuzaa zikatimia,akajifingua,Sasa kwa nini zisitumiwe hizo tarehe kusherehekea kuzaliwa kwa yesu waende kuweka sherehe hizo tarehe nyingine zinazoshabihiana na sherehe za wapagani!?
Hakuna tarehe rasmi ndani ya biblia

Kwani wewe una tarehe rasmi alipo zaliwa Muhammad?
 
Tarehe inaweza kuwa sawa ila dhumuni likawa tofauti
Hakuna ushahidi wapagani walisherekea kuzaliwa kwa Yesu
Ila Kuna ushahidi mpaka Leo wakristo wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu
Ni hivi hizo sikukuu zilikuwepo kabla ya nyinyi kuanza kushehereka kuzaliwa Kwa Yesu.

Nitakuelewa Tu kama mliamua kuchagua hiyo tar 25/ Dec
 
Ndio nimekwambia dhumuni ndio la muhimu

Wewe kuzaliwa sikukuu ya wajinga hakukufanyi wewe kusherehekea sikukuu ya wajinga utasherekea kuzaliwa kwako
 
Luka 1:26 mimba imetungwa mwezi wa SITA,so yesu kazaliwa machi,kwa nini isiwe machi hiyo xmass badala yake imekua disemba na kanisa biblia wanayo!?

Hiyo ni mimba ya Elizabeth ilipofikisha miezi SITA biblia haisomwi kwa kuchomoa mstari

Luka 1: 24Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema: 25“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
 
Mkitaka kutatua hilo hebu wekeni mwezi wa pili uwe na siku 30 alaf msahau hizo stor za yesu na wapumbavu wengine wanaotuvuruga mtu kapigwa zaidi ya miaka 2000 bado mnamzingatia dah afrika tulipatiwa sana walipoleta dini
 
Hiyo ni mimba ya Elizabeth ilipofikisha miezi SITA biblia haisomwi kwa kuchomoa mstari

Luka 1: 24Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema: 25“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
LUKA 1:26-
Mnamo mwezi wa SITA,malaika Gabriel alitumwa na Mungu aende galilaya kwenye mji uitwao Nazareth galilaya,kwa msichana mmoja bikira aitwaye mariyam,mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosef,wa ukoo wa daudi.....usiogope maria,kwa maana mungu amekujalia neema.utachukua mimba,utazaa mtoto wa kiume,nawe utampa jina yesu

LUKE 1:26
And the angel said to her.do not be afraid Mary,for you have found favor with god.and behold, you'll conceive in your womb and bear a son,and you'll call his name Jesus
 
Hakuna tarehe rasmi ndani ya biblia

Kwani wewe una tarehe rasmi alipo zaliwa Muhammad?
Maulidi ni birthday ya mtume saw,ndiyo maana waenda ofisini siku ya maulidi Kama ni siku ya kazi hawapendi,so tarehe maalum ipo
 
LUKA 1:26-
Mnamo mwezi wa SITA,malaika Gabriel alitumwa na Mungu aende galilaya kwenye mji uitwao Nazareth galilaya,kwa msichana mmoja bikira aitwaye mariyam,mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosef,wa ukoo wa daudi.....usiogope maria,kwa maana mungu amekujalia neema.utachukua mimba,utazaa mtoto wa kiume,nawe utampa jina yesu

LUKE 1:26
And the angel said to her.do not be afraid Mary,for you have found favor with god.and behold, you'll conceive in your womb and bear a son,and you'll call his name Jesus
Soma story nzima hiyo sio Koran ambayo verse hazina mtiririko
Hiyo ni mimba ya Elizabeth ilipofikisha miezi SITA biblia haisomwi kwa kuchomoa mstari

Luka 1: 24Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema: 25“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
 
Dhumuni la Christmas ni kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu, ni kumbukumbu Yesu alizaliwa duniani, hakuna mkristo anasherekea kinyume chake

Tarehe sio issue , dhumuni la sherehe ndio tunaangalia

Kesho tunasherekea kuingia miaka 2023 toka kipindi Cha Yesu , waislamu kina adriz medisonmuta ETUGRUL BEY inamankusweke Kisai Gavana wote watakuwa wanashangilia miaka 2023 toka Yesu aondoke duniani
Pole sana naona roho mtakatifu wako kakuingiza mkenge mpaka umepigwa ban
 
Soma story nzima hiyo sio Koran ambayo verse hazina mtiririko
Hiyo ni mimba ya Elizabeth ilipofikisha miezi SITA biblia haisomwi kwa kuchomoa mstari

Luka 1: 24Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema: 25“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Hayo majina Maryam na yesu hapo ni huyohuyo Elizabeth na mwanae!?
 
Story inaeleza elezabeth akiwa na mimba ya yohana mbatizaji Ikiwa na miezi 5 badae ilipo fika mwezi wa SITA Malaika akatumwa kwa Mariam , kasome kisa kizima usichomoe mstari
 
Hahahaaaaa mbona havina uhusiano!!!
 
Back
Top Bottom