Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

Ila mtoa Mada kwa kupika story sjui umetuona wote mazuzu ujinga mtupu useless story kawadanganye wajukuu zako
 
Nimeshindwa kuelewa kosa la sargent kutaka kupigwa risasi wakati luten ndio mwenye kosa.
Na kingine nimeshindwa kuelewa imekuwaje mesi ya ma afisa inakuwa sehemu moja na askari wa vyeo vya chini.
Kingine sijui au sijawahi ona askari akiwa mesi na silaha tangu niko jeshini labda huu ni utaratibu wa kikosi chenu hapo mgambo tanga kwenye shamba la gendaheka lenye kontua 400 kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine sheria za kijeshi zinahitaji reforms.....nchi nyingine kama ujerumani askari anahaki ya kutotii amri ya kamanda wake kama amejiridhisha kuwa amri hiyo ikitekelezwa itakiuka haki za kibinaadamu..
Kwani hata Tanzania unadhani askari anatakiwa kutii chochote kutuka kwa mkuu wake? Unafikri mkuu akimwambia nedna nyumbani ukampige risasi mke wangu analazimika kwenda? Sisi jeshi letu sheria nyingi tumerithi kutoka Uingereza hivyo ondoa wasiwasi kuwa lazima askari atii kila kitu anachoamrishwa.
 
sisi ambao hatujawahi kupita hata skauti tunajionea sawa tu hii story mara Luteni kanali mara sajent
Kama hukuwahi kupita jkt umekosa jambo muhimu maishani. Ukiacha jkt hii ya leo 'ilioboreshwa', ya enzi zile ilikuwa ni sehemu iliohitaji utumiaji mkubwa wa akili na maarifa ili siku ipite. Hali ambayo baada ya kutoka ilimwezesha mtu kuishi maisha ya aina yoyote.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Story ninaipata vizuri sana. Ila aliyeleta story ameikosea sana.

Kwanza Sargent hawezi kukaa sehemu moja ya vinywaji na Mkuu wa Kikosi, therefore ile ilikuwa officer's mess.
Unayemtaja kukokiwa bunduki alikuwa na Cheo cha Lieutenant. Msukuma mmoja bongebonge.

Yule CO alikuwa bonge la Kamanda. Alipenda sana seriousness katika kila kazi hasa training mnapokuwa "uwanja wa damu". (R.I.P)

Lakini kwenye burudani alipenda sana jokes (of course pale baada ya kuona jamaa amelewa na hataki kutii amri, alimnong'oneza mtu fulani na kikafanyika kilichofanyika. Ilitumika SRA na si SMG (haikuwa na risasi), maana SRA inalia sana ikikokiwa, na good enough it worked, maana jamaa alisimama juu bila shuruti " paaap".) Ilikuwa burudani tosha!!

Operation nidhamu!!
JF ina manjagu duh!
 
OP JK Aisee mgambo tulikuwa na demu service girl mzuri balaaaa yani ni hatariii...!! Alikuwa anatembea na mamaa flani ni Captain sijui yule... Officera messi na Rest House kule kula mabio sanaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimeshindwa kuelewa kosa la sargent kutaka kupigwa risasi wakati luten ndio mwenye kosa.
Na kingine nimeshindwa kuelewa imekuwaje mesi ya ma afisa inakuwa sehemu moja na askari wa vyeo vya chini.
Kingine sijui au sijawahi ona askari akiwa mesi na silaha tangu niko jeshini labda huu ni utaratibu wa kikosi chenu hapo mgambo tanga kwenye shamba la gendaheka lenye kontua 400 kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwani hata Tanzania unadhani askari anatakiwa kutii chochote kutuka kwa mkuu wake? Unafikri mkuu akimwambia nedna nyumbani ukampige risasi mke wangu analazimika kwenda? Sisi jeshi letu sheria nyingi tumerithi kutoka Uingereza hivyo ondoa wasiwasi kuwa lazima askari atii kila kitu anachoamrishwa.
Jeshini kuna kitu inaitwa.(kusikiliza kauli ya mwisho)ndio inaheshimuka kuliko vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilo jeshi litakua halitawaliki hakuna nidham
Sio kweli, linakuwa na sheria zinazo eleweka, na viongozi wanao jitambua. Kiongozi anaejua akitoa amri isio halali haitatekelezwa na atawajibishwa kwa kutoa amri hiyo, huwa yuko makini. Hapa kwetu askari anaepokea amri yoyote, hata akivalishwa nguo za kipolisi na kumwambia sense kupiga wafuasi wa Chadema, hana la kuhoji.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom