Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Kikwete hakuwa rais wa ukweli, ni msanii mno na ndiyo maana wapinzani walimchukia na kumpa kila aina ya jina la kejeli
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sio wewe kila uchwao unamlilia JK? Aibu!
 
Ilaa jamii forum bana.

Dah.. idumu milele.

Kuna watu wanaaibika kila Mara.

Ngumu kuwaamini.
 
Upinzani sio mbaya,,tatizo wao hawataki kuwa flexible,,wao Ni hostility mwanzo mwisho...
 
Bado unaadhimisha Boss?
 
Kikwete hakuwa rais wa ukweli, ni msanii mno na ndiyo maana wapinzani walimchukia na kumpa kila aina ya jina la kejeli
Kupewa hayo majina ya kejeli na bado akaweza kuhimili huo ndio ustaarabu. Ndio maana watu wana mmiss Kwasababu Kikwete alikuwa haumizwi na vitu vidogo vidogo.

Juzi nimemsikiliza anasema hajui yata kupika, nadhani ndio sababu.

Magu yeye nadhani mpaka nyama kwenye chungu na njiti za viberiti anahesabu.
 
Haumizi watu? Sasa ilikuwaje mkamuita dikteta?
 
Haumizi watu? Sasa ilikuwaje mkamuita dikteta?
Mtu yeyote anaweza kuwa dikteta Kwasababu kila mtu ana roho mbaya na ya wema. Roho ya wema ikiizidi ya Ubaya ndio ustaarabu unapoanzia.

Kikwete ni binadamu mwenye Utu sana maana alikabidhiwa madaraka makubwa lakini alijitahidi kutoyatumia kuumiza watu wengi.
 
Bavicha hamna ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…