Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Nani kiboko magufuri kiboko yao amefanya mengi Wote tume yaona..ata magu atakuja kukumbukwa.tu maana bavicha wanapenda kujitoa ufahamu.
 
No rest for the weary.

Always hope for the best but expect the worst.
 
Halafu kwa Utukufu wa Mungu nilichabgia laki 5 badala ya laki 2 nilizoahidi
Usawa huu sasa hivi laki 5 kutoa kwa jambo lisilo na kichwa wala miguu ni ngumu, kipindi hiko mzunguko wa pesa mzuri, na hakukuwa na makodi mengi
 
sasa ndugu zangu wa CCM tunapo mzoza Salary slip tunamanisha wakati huu umezidi majanga kuliko Kikwete ?
 
Hatujawahi kupata rais wa hovyo kama Kikwete ndani ya nchi hii. Jamaa alikuwa useless sana mpaka nchi ikawa inamfia mikononi mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…