Ni kweli rais amefanya kazi yake kikatiba. Pengo linapotokea ni sharti ateuwe mtu mwingine atakayeziba hilo pengo hususan wakati huu tete wa uchaguzi.Mkuu wa majeshi amestaafu, mlitaka Uhuru asiteue Kwa sababu ana Muda mfupi kabla ya kuondoka ? Jeshini hapana ombwe ! Ndio utaratibu Duniani pote !
Hivi Kenya hakuna kabila zingine?, 75% ya nafasi za juu ni Kikuyu na Kalenjin tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli rais amefanya kazi yake kikatiba. Pengo linapotokea ni sharti ateuwe mtu mwingine atakayeziba hilo pengo hususan wakati huu tete wa uchaguzi.
Sio mkikuyu, Peter Mbogo ni Mmbeere kutoka gatuzi la Embu.Sio mkikuyu wao huyu kweli
Njiru ni jina la Gikuyu tribe!
Waone hawa, CDF Peter Mbogo Njiru sio Mkikuyu ni Mmbeere. Chuki zenu ndio zinazidi kuwakwaza na kuwapumbaza, kadri muda unavozidi kusonga, sio wakikuyu wala wakenya kwa ujumla.Mkuu, kwanza uliza Njiru ni kabila gani?, Kila kitu kinawezekana chini ya Gikuyu Nation
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kulikuwa na ulazima gani wa kuteua mpya. Kwani aliyekuwepo kafariki au mgonjwa mahututi?Mkuu wa majeshi amestaafu, mlitaka Uhuru asiteue Kwa sababu ana Muda mfupi kabla ya kuondoka ? Jeshini hapana ombwe ! Ndio utaratibu Duniani pote !
Waone hawa, CDF Peter Mbogo Njiru sio Mkikuyu ni Mmbeere. Chuki zenu ndio zinazidi kuwakwaza na kuwapumbaza, kadri muda unavozidi kusonga, sio wakikuyu wala wakenya kwa ujumla.
| Name | Meaning |
| Njikoka | Njikoka is a Local Government Area in Anambra state, south-central Nigeria. |
| Njiraini | on the road |
| Njiru | black one |
soma vizuri utaona amepandishwa cheo! Muandishi alikosea kuandika!Wao mkuu wao wa Majeshi ni Luteni General?
Nimekueleza tayari kwamba ni Mmbeere na kwao ni Embu, acha ubishi wa kipuuzi. Kwahivyo hata wakuria, wachaga, wakisii, n.k ambo wana majina ambayo yanafanana na ya Kikikuyu ni wakikuyu pia?Njiru
Home >> Njiru Name Meaning
Gender : Boy
Meaning of Njiru name : black one
Njiru name also used in these origins : Kikuyu
People Also Search for :
Muiru
Kikuyu Meaning :
The name Njiru is an Kikuyu baby name. In Kikuyu origin the meaning of name Njiru is : Black one
Numerology
Njiru Name Numerological Number is : 1
Person with name Njiru has following quality:
Person having number 1 means they are creative, unity, beginnings, God, masculine, symbol of physical and mental activity. It's a number that expresses leadership, spotlight type individuality. There's a tendency to being organized, and ambitious. Ones go to the top in everything that peaks their interest, reflecting a natural leader
Name NJIRU is combinations of ONE occurrence of N , ONE occurrence of J , ONE occurrence of I , ONE occurrence of R , ONE occurrence of U has a lots of significance in Astrology.
N :
Imagination and free thinking are introduced through the N. Persons have a unique and purposeful approach to life.
J :
J is self-sufficient, driven, and full of potential. Persons are skilled at creating opportunity and carving their own path.
I :
Tolerance and compassion are introduced by an I in a person's name. Its presence makes them altruistic, creative, and kind.
R :
Persons are hardworking and are dedicated to supporting and uplifting humanity. Person represents a great power to do great things.
U :
Persons are lucky, artistry, and they have good opportunity. Such people influences a person with energies of optimism and balance.
Name Meaning Njikoka Njikoka is a Local Government Area in Anambra state, south-central Nigeria. Njiraini on the road Njiru black one
Njiru - Meaning of Njiru Name, Boy Njiru Origin and Astrology
Njiru is a Boy name, meaning black one in Kikuyu origin. Find the complete details of Njiru name on BabyNamesCube, the most trusted source for baby name meaning, numerology, origins, similar names and more!www.babynamescube.com
MY TAKE
Kama Wanjiru, Njiku, Wanjiku, wangari, Njeri na Wanjeri yote ni Mumbi names!
Wacha upuuzi wewe ati ADC ameteuliwa kuwa CDF? Hivi unajua ADC huwa wana vyeo vidogo? Huwa hawazidi u-colonel! Sasa hawezi rushwa vyeo namna hiyo mara nyingi CDF hutoka kwa major generals au Lieutenant generals!
Ni kweli rais amefanya kazi yake kikatiba. Pengo linapotokea ni sharti ateuwe mtu mwingine atakayeziba hilo pengo hususan wakati huu tete wa uchaguzi.
Hakuna mchezo mchafu. Sheria imefuatwa. Wewe kama hukupenda basi hio ni maoni yako...Cdf aliyefikia retirement age angeweza kuombwa kuendelea mpaka pale Raisi mpya atakapoingia madarakani na kuteua Cdf mwingine. Hapa Raisi Uhuru Kenyatta amefanya michezo michafu kwa kuteua Cdf wakati hana muda mrefu ataondoka ofisini.
So kwaivo juu ni mkikuyu hafai kupandishwa cheo? Akili kama za mende hiziMkuu, kwanza uliza Njiru ni kabila gani?, Kila kitu kinawezekana chini ya Gikuyu Nation
Leta ushahidi Kama ambavyo Geza ameleta, huyo ni mkikuyu.Nimekueleza tayari kwamba ni Mmbeere na kwao ni Embu, acha ubishi wa kipuuzi. Kwahivyo hata wakuria, wachaga, wakisii, n.k ambo wana majina ambayo yanafanana na ya Kikikuyu ni wakikuyu pia?
Sheria kwa ajili ya wakikuyu pekee?[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mchezo mchafu. Sheria imefuatwa. Wewe kama hukupenda basi hio ni maoni yako.
Kasema wa zaman we bwana.....alafu mara nyingi wakitoka uADC wanapandishwa vyeo na kuendelea na shuguli zingineWacha upuuzi wewe ati ADC ameteuliwa kuwa CDF? Hivi unajua ADC huwa wana vyeo vidogo? Huwa hawazidi u-colonel! Sasa hawezi rushwa vyeo namna hiyo mara nyingi CDF hutoka kwa major generals au Lieutenant generals!
Tatizo ni kwamba, huko Kenya zaidi ya 75% ya nafasi za juu serikali zimekamatwa na kabila mbili pekee, hii inazidisha ukabila na upendeleo wa waziwazi kwa wakikuyu.So kwaivo juu ni mkikuyu hafai kupandishwa cheo? Akili kama za mende hizi
amerekebisha!Kasema wa zaman we bwana.....alafu mara nyingi wakitoka uADC wanapandishwa vyeo na kuendelea na shuguli zingine
Mabeyo kawa extended lini?Kulikuwa na ulazima gani wa kuteua mpya. Kwani aliyekuwepo kafariki au mgonjwa mahututi?
Mwamunyange hapa Tanzania alikuwa extended muda ili Magufuli ajipange achague wa kwake, Mabeyo akawa extended muda ili Samia atulie kwanza ndio achague