Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

Mabeyo kawa extended lini?

..mwamunyange alipewa extension.

..suala la mabeyo ni tofauti kidogo.

..mabeyo alitakiwa kustaafu kabla hajateuliwa kuwa cdf.

..mwamunyange aliyestaafu amezaliwa 1959. Mabeyo ambaye alimpokea amezaliwa 1956.🤣
 
Mwamuyange nakubali JPM alimpa mmoja ila nauliza Mabeyo kapata extension lini?
 
Sio kweli. Kampandisha cheo. Lakini sio mkuu wa majeshi. Kamfanya kuwa luteni jenerali.
 
Hyo jamaa ni kichaa

..suala ni raisi anayekaribia kutoka madarakani kuendelea kuteua watendaji wa nafasi nyeti[sensitive] ikiwemo mkuu wa majeshi.

..kwasababu uchaguzi wa Raisi wa Kenya unafanyika karibuni ingependeza kama Mkuu wa majeshi angeongezewa muda ili kutoa nafasi kwa Raisi ajaye kuteua mkuu wa majeshi watakaye-serve pamoja.

..hakukuwa na ulazima wa Venance Mabeyo kuongezewa muda kwasababu hakuwa ana-retire karibu na kipindi ambacho Raisi mpya anachaguliwa.

Cc Chura
 
Wapo wanaohisi Kenyatta anacheza jwa akili sana na Raila. Anamuweka mbele huku anamtengenezea timu yeye maana yake itakuwa kama ya Kabila na Tshsekedi. Ngoja tuone
 
..suala ni raisi anayekaribia kutoka madarakani kuendelea kuteua watendaji wa nafasi nyeti[sensitive] ikiwemo mkuu wa majeshi.

..kwasababu uchaguzi wa Raisi wa Kenya unafanyika karibuni ingependeza kama Mkuu wa majeshi angeongezewa muda ili kutoa nafasi kwa Raisi ajaye kuteua mkuu wa majeshi watakaye-serve pamoja.

..hakukuwa na ulazima wa Venance Mabeyo kuongezewa muda kwasababu hakuwa ana-retire karibu na kipindi ambacho Raisi mpya anachaguliwa.

Cc Chura
Hapa Kenya hakuna upuuzi wa kuongezea wanajeshi muda kama huko kwenu. Muda wako ukifika unastaafu. Hio ndio culture ya jeshi hapa Kenya. Usilazimishe tufanane.
 
..Uhuru Kenyatta amefanya ukora kupachika mtu wake kuwa mkuu wa majeshi.

..mkuu mpya wa majeshi alipaswa kuteuliwa na Raisi atakayechukua usukani baada ya Uhuru Kenyatta.
 
Wacha upuuzi wewe ati ADC ameteuliwa kuwa CDF? Hivi unajua ADC huwa wana vyeo vidogo? Huwa hawazidi u-colonel! Sasa hawezi rushwa vyeo namna hiyo mara nyingi CDF hutoka kwa major generals au Lieutenant generals!

..kwa uelewa wangu kila Brig.General ana Adc wake.

..Nadhani hiyo ndio sababu Adc wa Raisi huwa hawazidi cheo cha Colonel.
 
..Uhuru Kenyatta amefanya ukora kupachika mtu wake kuwa mkuu wa majeshi.

..mkuu mpya wa majeshi alipaswa kuteuliwa na Raisi atakayechukua usukani baada ya Uhuru Kenyatta.
Sheria haisemi hivyo. Huku tunafuata sheria.
 
Mkuu, kwanza uliza Njiru ni kabila gani?, Kila kitu kinawezekana chini ya Gikuyu Nation
Asante kwa hii taarifa, Kenya wakikuyu wapo juu ya Sheria, wanaodai wao ndio waliopigana maumau war wakati makabila mengine walikua wakisex na wake zao, lazima wajilipe.
Tony254
dyfre
Nicxie
Stop looking at everything through tribal lenses wewe mjinga. Shugulika na ya kwenu, yetu huyawezi.

To begin with, with is a misleading thread coz Peter Njiru hakuteuliwa kuwa mkuu mpya wa majeshi Kenya. He simply got a promotion. The current CDF is Robert Kibochi whose term will come to an end in May 2024 if I am not wrong.

But because the tribal music is so pleasing to your ears, I'd like to bring it to your attention that the next CDF will be either a Luo or a Somali. This is because the position of CDF is rotated among the three services ie The Kenya Army, The Kenya Air Force and the The Kenya Navy. The last two CDFs have come from the Kenya Army (Kibochi) and Kenya Navy (Mwathethe). This means the next CDF MUST come from the Air Force. At the moment, Lt Gen Francis Ogolla (Luo) and director-general of Nairobi Metropolitan Services Lt Gen Mohammed Badi (Somali) are the senior most officers with the title Lieutenant General within the Air Force.

Umesikia bongolala?
 
Hahahaha, therefore in Kenya tribes is one among criteria used for government appointment, you make it rotational, if there is Luo on one side, there must be Kikuyu on other side of the wing, now that alone makes Kenya to be very stupid Nation, do you think tribe has anything to do within Kenya?, Why don't you do the same on religion?, Why Kenya never had Muslim president or CDF or any higher position?, Only rotational on Tribalism?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio tatizo la kusoma na kutoelewa. Where did I say it's rotational based on tribes? I said it's rotational among the three forces. Hadi nikakupa mfano na the last two CDFs. Aliyetangulia kabla ya Kibochi alikuwa ni Kenya Navy. Kibochi ni wa Kenya Army so kisheria anayekuja baada yake ni lazima atoke Kenya Air Force. Ni nini hujaelewa hapo bongolala?

Hao watu ni wakenya na ni lazima wawe wametoka kabila fulani. Hiyo ndio inakuuma wewe kilaza? The current CDF is a Kikuyu, kabla yake alikuwa mgiriama kutoka pwani na atakayeingia ni aidha mjaluo au msomali. Au ulitegemea awe Mnyamwezi?
 
Back
Top Bottom