Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

View attachment 2298278
Peter Mbogo Njiru
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani.

Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Walter Raria aliyestaafu baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka minne.

ADC wa sasa wa Kenyatta, Timothy Stelu ambaye alikuwa Kanali amepandishwa cheo kuwa Brigedia lakini ataendelea kubaki katika nafasi ya ADC akimlinda Rais.


------------------------

Uhuru Picks His Former ADC Peter Mbogo Njiru to Head Kenya Army

President Uhuru Kenyatta, on Wednesday, July 20, promoted his former aide-de-camp (ADC) Peter Mbogo Njiru to become the Commander of the Kenya Army.

Njiru was also promoted from the rank of Major General to Lieutenant General - a position previously held by Walter Raria.

Njiru took over after Raria retired on completion of four years tour of duty.

The current ADC, Timothy Stelu, who previously served as a colonel, was promoted to the rank of Brigadier. He will continue serving as the ADC to the Head of State.

This comes a week after the former colonel was awarded the Elder of the Order of the Burning Spear (E.B.S.) commendation by the President.

"His Excellency Hon Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, and Commander-in-Chief of the Defence Forces, on the advice of the Defence Council, chaired by Hon Eugene Wamalwa, Cabinet Secretary for Defence, has today July 20, 2022 made the following promotions, appointments and postings of the officers of the Kenya Defence Forces," a notice from the Ministry of Defence announced.

In total, the Head of State promoted 22 officers attached to KDF spanning the Kenya Army, Kenya Air Force and Kenya Navy.

Others who were promoted are Brigadier David Kimaiyo Chemwaina Tarus (Major General and appointed

General Officer Commanding Western Command), Brig Juma Shee Mwinyikai (Major General and appointed General Officer Commanding Eastern Command) and Brig Fredrick Leuria (Major General and appointed Assistant Chief of Defence Forces in charge of Operations, Plans, Doctrine and Training).

In the Air Force division, Brig Benard Waliaula was promoted to the position of Major General and appointed.

Director Defence National Security Industries, Col Mohammed Salah Farah (promoted to Brigadier and appointed Base Commander, Laikipia Air Base) while Col Mohamed Dahir Ali became a Brigadier as well as the Principal of the Defence Forces Technical College.

In the Navy division, Stelu was appointed alongside Col John Wekesa Khaoya who ascended to the position of Brigadier and will now serve as the Chief of Welfare and Compensation, at the Defence Headquarters.

Source: aa.com.tr

command and staff college ya Tanzania imetoa maofisa wanadhimu wakuu wengi Afrika.

Namuona major general Peter Mbogo Njiru akichungulia ktk video hii wiki kadhaa ziliopita na kabla ya kuonekana anafaa sasa kuwa lieutenant general

 
Ni kweli rais amefanya kazi yake kikatiba. Pengo linapotokea ni sharti ateuwe mtu mwingine atakayeziba hilo pengo hususan wakati huu tete wa uchaguzi.
Mkuu MK254 toa tathmini RAO atashinda uchaguzi huu?
 


Ranks za KDF ndio hizi hapa.
6755aa13ebc407d9.png
 
command and staff college ya Tanzania imetoa maofisa wanadhimu wakuu wengi Afrika.

Namuona major general Peter Mbogo Njiru akichungulia ktk video hii wiki kadhaa ziliopita nchini Tanzania na kabla ya kuonekana anafaa sasa kuwa lieutenant general na mkuu mpya wa jeshi la ardhini /miguu la Kenya yaani Kenya Army.



27 July 2022
President Kenyatta's former ADC Peter Mbogo Njiru sworn-in as the new Kenya Army Commander



Source: Citizen TV Kenya

NAKURU, Kenya, July 27, 2022 – Peter Njiru has been sworn in as the new Kenya Army Commander in a ceremony witnessed by President Kenyatta at State House Nakuru.

The swearing-in ceremony of President Kenyatta’s former Aide de Camp on Wednesday was attended by the Kenya Defence Forces (KDF) top brass led by Chief of Defence Forces Robert Kibochi.

The event was conducted by the Head of Public Service Joseph Kinyua.

Also present were Kenya Air Force Commander Major General John Omenda and Kenya Navy Commander Major General Jimson Mutai.

Defence Cabinet Secretary Eugene Wamalwa and his Treasury counterpart Ukur Yatani graced the event.

The event also doubled up as the investiture ceremony for the recently promoted Brigadier Zipporah Kioko and Brigadier Alice Muringo Mate.

President Kenyatta commended the newly promoted KDF senior officers and wished them success as they undertake their new roles.

The appointment of Njiru is among the military changes – Kenya Army, Kenya Air Force and Kenya Navy done by the Head of State last week on the advice council of the Defence Council chaired by Defence Cabinet Secretary Eugene Wamalwa.

Njiru replaced Walter Koipaton who retired after serving his four years tour of duty.

Source : Peter Njiru sworn in as new Kenya Army Commander » Capital News
 
July 2022
Nairobi, Kenya

Mkuu wa majeshi Jenerali Robert Kibochi afuzu kwa ngazi ya PhD, aelezea furaha baada ya kuandikisha historia


PhD yake imeangazia eneo la Peace and Conflict Management, imemchukua miaka 5 ili kuweza kuhitimu ngazi hiyo ya elimu ya juu aliyofanyia ktk chuo kikuu cha Kenyatta University na kutunukiwa cheti cha leo 22 July 2022.
Source : KTN News Kenya
 
Back
Top Bottom