Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

..hiyo ni HUJUMA kwa raisi anayekuja, iwe ni odinga, au ruto.

..uhuru kenyatta amefanya ukora kupachika mkikuyu mwenzake kuwa cdf wakati yeye anakaribia kuondoka madarakani.

..uteuzi wa cdf ulitakiwa usubiri ufanywe na raisi atakayeingia baada ya uchaguzi mkuu wa kenya.
 
Ni uteuzi gani wa CDF imefanyika na wewe pia? Hebu nitajie jina ya CDF wa Kenya na aliteuliwa lini? Mbona mnapenda kuforce mawazo yenu potovu?

Wewe pia umesona bila kuelewa chochote Kama tu yule kilaza mwenzako alyetangulia
 
..Kwanini Uhuru Kenyatta anateua watu wakati anakaribia kuachia madaraka, wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu?

..Hata kama sheria inamruhusu wakati mwingine ni vizuri kutumia busara na sio kufanya mambo kama mkora.
 
Ndio maana nikasema uache kulazimisha mawazo yako potovu yawe ukweli. Anayehuduma kama CDF nchini Kenya kwa sasa aliteuliwa Mei 2020 na atahudumu kwa kipindi cha miaka minne jinsi sheria inavyosema (unless he attains mandatory retirement age before that time).

Huyo mwingine aliyeteuliwa juzi na Uhuru ni wewe na watanzania wenzako ndio wanamfahamu. Sisi tunajua tu aliyepandishwa ngazi
 
..Taarifa ya Kimombo inasema Uhuru Kenyatta, amefanya promotions, appointments, and postings, ndani ya land force, air force, na navy.

..Argument yangu ni kwamba Raisi aliyebakisha less than a month in office hatakiwa kufanya kama Uhuru Kenyatta.

..Hizo promotions, and especially appointments, and postings, should have been left for the incoming commander in chief to deal with.

..Ni kawaida Raisi anayeondoka kupandisha askari vyeo na kutoa nishani / medals, lakini sio ku-appoint. Hata hapa Tanzania tulipata 4 star generals kwa mara ya kwanza wakati Nyerere ana-retire, lakini hakufanya uteuzi Jeshini.
 
And what is the title of this thread? Is it not saying that "...Uhuru ateua mkuu wa majeshi mpya"? Is that not misleading?

About appointments, it is the duty of the president as the commander-in-chief to make appointments in the military where and when necessary as that is his constitutional duty. The appointments he made were done so to fill vacuums left by retiring/retired officers. The military is a sensitive arm of the government that can't go unmanned, especially in a transitional year like ours at the moment. We are going to an election in a matter of weeks, just in case you forgot. Did you expect those positions to remain vacant at a critical time like this?

Uhuru will remain the president of Kenya until a new president is sworn into office and he is expected to perform all his duties up to the last minute.
 
Wacha upuuzi wewe ati ADC ameteuliwa kuwa CDF? Hivi unajua ADC huwa wana vyeo vidogo? Huwa hawazidi u-colonel! Sasa hawezi rushwa vyeo namna hiyo mara nyingi CDF hutoka kwa major generals au Lieutenant generals!
Nadhani ulikuwa haujaelewa sentesi inasema aliyekuwa ADC
 
Wacha upuuzi wewe ati ADC ameteuliwa kuwa CDF? Hivi unajua ADC huwa wana vyeo vidogo? Huwa hawazidi u-colonel! Sasa hawezi rushwa vyeo namna hiyo mara nyingi CDF hutoka kwa major generals au Lieutenant generals!
Sasa si usome kilichoandikwa kwenye gazeti hapo kuliko kumattack mleta mada, au lugha ya malikia inasumbua. Na kwanini umekariri kuwa ADC anakuwa na cheo kidogo
 
Aliyechaguliwa sio CDF. Tatizo lako nini?
 
Huyo ni mkuu wa jeshi la nchi kavu, siyo CDF. CDF anabakia Robert Kibicho kwa taarifa yako!
 
Sio kweli. Kampandisha cheo. Lakini sio mkuu wa majeshi. Kamfanya kuwa luteni jenerali.

Mkuu wa majeshi ni Grnerali Robert Kibicho, huyu ni kamanda wa jeshi la ardhini.
 
Mkuu wa majeshi ni Grnerali Robert Kibicho, huyu ni kamanda wa jeshi la ardhini.

..Uhuru Kenyatta anapachika watu wake kabla hajaondoka madarakani.

..sio sahihi Uhuru Kenyatta kufanya uteuzi wakati muda wake wa kuwa ofisini ni chini ya mwezi mmoja.

..huo ni UKORA.
 
..Uhuru Kenyatta anapachika watu wake kabla hajaondoka madarakani.

..sio sahihi Uhuru Kenyatta kufanya uteuzi wakati muda wake wa kuwa ofisini ni chini ya mwezi mmoja.

..huo ni UKORA.
Hayo ni maoni yako. Halafu sijui mbona una uchungu kuhusu uteuzi huu ilhali wewe sio Mkenya.
 
Hayo ni maoni yako. Halafu sijui mbona una uchungu kuhusu uteuzi huu ilhali wewe sio Mkenya.

..Wakenya ni ndugu zangu kwa hiyo lazima niwe-concerned na kinachoendelea nchini kwao.
 
REKEBISHA KICHWA CHA HABARI:
Huyo aliyeteuliwa ni Mkuu wa Kikosi Cha Ardhini ( Kenya Army) na siyo Mkuu wa Majeshi
 
Huyo ni Mkuu wa Kikosi / Jeshi la Ardhini na siyo Mkuu wa Majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…