Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipojiunga na TANU mwaka wa 1955

ndo maana nikasema "hili lizee" litakufa kihoro na huo udini wako na hii dhambi itakutafuna wewe na kizazi chako chote mpaka ukamilifu wa dahari!
Mtanganyika wa kweli,
Mbona una hamaki na kutoa jeuri?
Ikiwa mimi unanikiri ni mzee si ndiyo mahali pa kufanya staha?

Kwetu kijana ambae hana heshima kwa wazee anamtukanisha
mama yake.

Nadhani umeelewa kwa nini haikuwa anaetukanishwa ni baba.
Huu ni mjadala wa kawaida na wa kisomi.

Unapambanisha hoja kwa hoja bora zaidi.
Hapa si mahala pa kushindana matusi.
 
kwahiyo ulitaka kusema tu kuwa jamaa ni muislam


swissme
 



gd explanation
 

mohamed said

hakuna jeuri my be wewe ndo unamtukanisha mama yako kwasababu hayo sio maadili ya kitanzania
kwanini "jizee"?? hauko kwenye busara na hekima kama mzee atakiwavyo kuwa,umekuwa mtu wa hovyo kabisa sina budi kukuita "jizee"

point iko pale pale,utakufa kihoro na huu udini na hii dhambi itakutafuta wewe na kizazi chako!
 

Wewe akili yako finyu kweli kweli, si kulaumu sana kwani nnauhakika umetokea shule isiyo na elimu na ukajazwa ujinga.

Hujiulizi kwanini id yako umejiita Kwameh? Jina la ki Akari.
 
Mtanganyika wa kweli,
Hili la uzee si tatizo kwa kuwa hiyo ni sifa yangu.
Hakika mimi ni mzee.

Tatizo ni wewe kukosa adabu ndipo nikakuasa.

Wanaokusoma hapa huenda wakadhani mama
yako hakukufunza adabu.
 

Wewe itakuwa ni katika wale ambao kila mwanamme anaeingia nyumbani kwenu mama'ko anakwambia mwamkie baba'ko.

Nnauhakika mpaka leo humjui yupi ni wa ukweli.
 
Mtanganyika wa kweli,
Hili la uzee si tatizo kwa kuwa hiyo ni sifa yangu.
Hakika mimi ni mzee.

Tatizo ni wewe kukosa adabu ndipo nikakuasa.

Wanaokusoma hapa huenda wakadhani mama
yako hakukufunza adabu.

unakimbia kwenye mada unaleta maswala ya adabu,still ukweli utabaki pale pale huo udini utakuua kihoro na hiyo dhambi unayoipandikiza itakutafuna wewe na kizazi chako chote!
 
unakimbia kwenye mada unaleta maswala ya adabu,still ukweli utabaki pale pale huo udini utakuua kihoro na hiyo dhambi unayoipandikiza itakutafuna wewe na kizazi chako chote!
Mtanganyika wa kweli,
Mimi siwezi kukukimbia wewe kwenye mada yoyote ile.
Sasa tuingie kwenye udini.

Mwandishi wa kwanza kuandika kuhusu udini Tanzania
alikuwa P van Bergen (1981).

Mwandishi wa pili alikuwa Padri John Sivalon (1992).
Akafuatia Hamza Njozi (2002).

Hawezi mtu yoyote akaeleza tatizo hili na ukubwa wake
mpaka awe amewasoma watafiti hawa.

Je, umewasoma?
 


huo uliowataja juu kabla ya huyo mwalim wak wa litetature mwisho ambaye alikuwa udsm baadae akaj kuwa vc chuo mlichopewa na mkapa hapo moro,wamezingumzia udini lakin so km unavyotak kutuaminisha wewe,wewe chuki ambayo imetengeneza majeraha ndan ya moyo wako lazim itakuua kihoro wewe na kizazi chako!
 
Mtanganyika wa kweli,
Ghadhabu zimekupotozea umakini wa kujadili.
Hujibu nilichokuuliza.

Tulia hasira zipoe kisha rejea tutajadili.

Mwenye vidonda moyoni ni wewe unaetukana
kwa hasira zilizokuzidi.

Mimi nakujibu nikiwa hadhir kabisa.
 

Unatokwa na povu kwa kuwa umeguswa pazuri?

Nnajuwa, Alama Mohamed Said amewagusa wengi kama ulivyoguswa wewe, kwa kuwa mlikuwa mnaaminishwa ujinga miaka yote, sasa mambo yako wazi hamna hoja zaidi ya kuja na mapovu yasiyo na tija.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Pitia tena huu uzi utaelewa tu, kuna mahali imewekwa wazi, usingoje kila kitu kufanyiwa.
Mtwa Mkwawa hakuwahi kuitwa Abdalah,hakuwahi kuukubali Ukristo wala Uislam...Wakati mwingine tusingize sana hisia binafsi ktk mambo yenye uhalisia na ukweli wa waliopo eneo husika.Dini ya Uislam ktk ukoo wa Mkwawa ilianza kwa Sapi Mkwawa baada ya baba yake Mtwa Mkwawa kufariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…