Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

Bashiru, Polepole na Kabudi, wanatisha kwenye siasa. Hata samia na kikwete wanajua hilo na wanakazi ya kuwachunga wasijeungana kuleta upinzani.

Huu ni ukweli mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mbwa habweki na mifupa mdomoni!.. hao ulowataja matumbo yao ndo priority yao
 

Ujengewe sanamu...iwekwe mlima kilimanjaro...
 
Aliyeelewa anieleweshe tafadhali
Mwamba kaongea lakn ajafikiria hao alio wataja wamelelewa katika academy hip kama xi CCM hvo mixing ya siasa wanayo ndo maana anaweza kuwaona niatarii lkn xo Kwa kutetemesha Tena CCM apo ndipo alipo jichanganya
 
Usikariri maisha
Ndivyo ilivyo sio kukariri. Nje ya ccm hawana nguvu wanaweza kuwekwa korokoroni au wakawekwa under house arest na ukaambiwa wanaumwa wako india.
 
Ndivyo ilivyo sio kukariri. Nje ya ccm hawana nguvu wanaweza kuwekwa korokoroni au wakawekwa under house arest na ukaambiwa wanaumwa wako india.

Nakusihi usikariri maisha
 
Nakusihi usikariri maisha
Hiyo ndiyo fact. Nje ya ccm hao hawana nguvu. Hata hayo wanayoyasema ni kwamba tu maza kaamua kuwavumilia angekuwa kama jpm wangeshaanz akuhenyeshwa na hakuna ambaye angewatetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…