Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

Sukuma gang wapo, ni watu kaliba ya Bushiri, Ndungoi, Slow Slow, Kabundi na wengineo. Sukuma gang siyo kabila ni tabia. Kwani Saambaya au Ndungoi ni wasukuma? Lakini ni Sukuma gang members
Kabundi, kale ka jalalani?
Ha ha ha !
 
Kama CCM haitakoma kuwa mrengo wa kisiasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujihusisha na upinzani ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Japo sikutaka maelezo mengi, mimi nimeuliza kabudi wakutoka jalalani au Kabudi mwingine?
Muulize atakujibu maana ni mtu mzima yule aweza jitetea😃😃😃😃

Anzisha thread atajibu Kwa I'd fake.
 
Hakuna kitu kama hicho, ni IMAGINATION tu.

Kuna kundi kubwa la wananchi Kwa maelfu wenye njaa ya HAKI, wanapambana kupata mkate Kutoka kundi dogo la wevi na waovu!!!!
Je wajua kuwa hata wewe ni Sukuma gang?
 
Muulize atakujibu maana ni mtu mzima yule aweza jitetea[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Lakini wewe ndiye umemtaja so siwezi muuliza yeye kwani sijui wewe wamaanisha Kabudi yupi ndiyo maana nikauliza, je ni yule aliyesema katoka jalalani?
 
Je wajua kuwa hata wewe ni Sukuma gang?
Hakuna kitu kama hicho na hakujawahi tokea kundi Hilo.

Wezi na waramba asali ndo waliform hicho kivuli Ili kutuibia pesa zetu wakituacha tukilumbana kuhusu mtu aliyekufa asoweza jibu chochote.

STUKA, you are fixed.
 
Lakini wewe ndiye umemtaja so siwezi muuliza yeye kwani sijui wewe wamaanisha Kabudi yupi ndiyo maana nikauliza, je ni yule aliyesema katoka jalalani?
Anzisha thread atakujibu, ni mtu mzima yule tena Professor!!!
 
Watu wazima huwa hawafanyi vitu kitoto kama unavyowaza wewe. Kipindi issue ya trillion 1.5 ipo hot ,Prof.Assad aliulizwa na Rais kama kweli hazionekani akajibu sio kweli mzee. Je, hapo hakula matapishi yake mwenyewe?

Mtu kama Bashiru, the best political strategist the country has ever had ni mtu anayetumia akili kubwa sana
Acha ujuaji wa kijinga, swali aliloulizwa Prof Assad ni kuwa je kuna pesa zimeibiwa, ambalo siyo swali halali kwa CAG kujibu
 
Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.

Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.

Sio Lissu, Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Yaani watu ambao kwenye siasa wanazidiwa uzoefu hata na Mdude waitetemeshe CCM ?

Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi nyinyi ?
 
Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.

Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.

Sio Lissu, Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Uko sahihi kabisa...
Hata hao upinzani kama wanataka watoboe sasa hivi wawachukue hao jamaa watatu watakua na wana chansi kubwa... vinginevyo upinzani ndio watapoteana zaidi na kwa sasa rais samia amewapa hawa wapinzani wa sasa jukwaa la kujielezea mapema ili wajimalize kabisa kwa kukosa hoja kuelekea 2025...
 
Acha ujuaji wa kijinga, swali aliloulizwa Prof Assad ni kuwa je kuna pesa zimeibiwa, ambalo siyo swali halali kwa CAG kujibu
Ninyi ni wepesi sana wa kusahau na ndio maana siasa za hoja haziwafai. Prof. Assad aliulizwa ni kweli hela hazionekani zilipo, akajibu sio kweli mheshimiwa.

Halafu unasema sio mahali pake ni Nani aliyezusha kwamba kuna hela hazikujulikana matumizi yake? Kama kweli alikuwa anaamini kwamba hizo hela hazijulikani alipo kama alivyoandika kwenye ripoti angesema pale
 
Mbn umewataja watuu walewale ambao hawna jipya? Ingekuwa bora ukawataja watu kama Heche,Sugu,mchungaji Msigwa,Mbowe, Tundu Lisu na wengine wanaojitambua kama hao ningekuona wewe ni mzalendo
 
Inaonekana hili jambo la kuruhusiwa mikutano ya hadhara limeichanganya CCM. Sasa naona kila mmoja anajaribu kucheza mind games ili kupunguza hofu iliyotanda. Hakuna mwanaccm anaweza kujenga hoja na kukubali kuingia kwenye ushindani wa haki baada ya kutoa hoja zake. Wote wanategemea mbeleko ya vyombo vya dola kuweza kubaki madarakani.
UK
Wale chadema waliotuambia pesa ya kuendesha nchi wangeenda kuchukua ulaya sasahivi deni lingekua trillion 92×10

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kwa mafirio yako ya kinadharia nadharia na ndoto za chuki zisizo na ukweli .
 
Watu wazima huwa hawafanyi vitu kitoto kama unavyowaza wewe. Kipindi issue ya trillion 1.5 ipo hot ,Prof.Assad aliulizwa na Rais kama kweli hazionekani akajibu sio kweli mzee. Je, hapo hakula matapishi yake mwenyewe?

Mtu kama Bashiru, the best political strategist the country has ever had ni mtu anayetumia akili kubwa sana
Bashiru ni mjanja sana anajua akifungua mdomo tu amaliwa kichwa; madhani anasubiri mda sahihi ila sio sasa
 
Sio sasa hivi. Walishakula matapishi yao. Kitendo cha kabudi kutetea kupotea kwa Azory gwanda, na Bashiru kutetea matumizi ya dola kubaki madarakani na Polepole kutetea wizi wa Trilioni 1.5 na kuanza kupiga mahesabu kwenye TV, kumewaondoa kwenye viongozi waadilifu.
Huijui Siasa wewe.

Kama CDM walimnadi Lowasa na akapata kura nyingi .. hao nilio wataja hawana baya.
 
Back
Top Bottom