KANYIMBI
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,167
- 4,374
Amewataja Sukuma gang wanaoendelea kuteseka baada ya kifo cha JPMAliyeelewa anieleweshe tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amewataja Sukuma gang wanaoendelea kuteseka baada ya kifo cha JPMAliyeelewa anieleweshe tafadhali
Mtu pekee kaweza kuwasumbua CCM kwa muda mrefu bila kuyumba ni Mbowe, since 2005, watu wanachukulia poa Samia kujaribu kumuweka Mbowe upande wake, anajua influence yake kwenye TZ politics, hawa wengine wahuni tuWatachinjwa saa mbili asubuhi
Yaani nimekudharau sana, yaani wewe ni zwazwa tu kama hao unaowataja, yaani nikae namsikiliza Polepole huyu ambae ananiambia sijui utamu wa kupanda V8! Au Kabudi aliyekuwa anamwita Magufuli "mheshimiwa mungu"!🚮🚮💩Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu, Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Kuna watu wajinga sana hii nchi! hivi kuna wahuni zaidi ya hao watu waliotajwa na huyo mleta mada? Nakumbuka hao watu 2013-2015 walikuwa wapinzani wakubwa wa CCM na mifumo yake yote, then akaja Magu sababu ya uoga wake wa kukosolewa akawapa vyeo, wakapiga bonge la UTURN!!! Mmojawapo hapo alikuwa anapinga cheo cha UKUU WA WILAYA, Alipoteuliwa hicho cheo alikipokea kwa mikono miwili!! Hamtokuja kupewa nafasi nyingine kamwe kuiongoza hii nchi, kosa la 2015 halitorudiwa tena, tunaenda na Mama hadi 2030, baada ya hapo tutajua nani atakuwa rais, ila siyo nyinyi wahuniKabudi na Bashiru wasitoke, wapambane wakiwa ndani ndo Pana support kubwa kuliko nje.
Wahuni watoke CCM Ili Imani irudi Kwa wananchi.
Ukutaka kujua CDM ni tishio angalia kinavyoshambuliwa pasipo sababu za msingiAliyeelewa anieleweshe tafadhali
[emoji23]Ni mtazamo wake... yaani mimi kabisa nikae chini niwaamini watu (hovyo) aliowataja wanishawishi kwa hoja? Kundi la watu walio wafu kisiasa na wasio aminika?
Una akili ndogo sanaWenye kutazama vitu kwa jicho la tatu wameelewa
Ndani ya CCM, hakuna mwanasiasa aliye na nguvu ya kushawishi watu. Kilicho na nguvu ndani ya siasa za nchi hii ni Rais ambaye yupo madarakani. Yeye ndiye huamua nani atangazwe kuwa Rais, nani awe mbunge. Fikiria wagombea asilimia 75% wa CCM hawakupitishwa na wajumbe kuwa wagombea wa ubunge kupitia CCM, lakini Magufuli aliamua wawe wagombea wa CCM na wawe wabunge. Wanachi waliwachagua wagombea wengi wa ungunge toka upinzani, lakini jwa kauli moja ua Magufuli, ushindi wao wote ukafutwa wakatangazwa aluowataka yeye.Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu, Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Hawana chochote hao kazi yao kubwa ilikuwa kununua wapinzani na kuharibu demokrasia na chaguzi.hao wanawekwa kundi moja na wafuasi wa NAZI ambao bado wanaishi wanaweza wakasema nao walikuwa wanashinikizwa ila hawajawahi kuonyesha thamani ya uongozi wao hata kidogo.MAMBO YOTE YA HOVYO YALIYO TOKEA KIPINDI CHAO WAO NDIYO WALIKUWQ WATENDAJIHapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu, Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Wale wakishika maiki lazima ukae kitako kuwasikiliza.
Wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu wameelewa
Hao pamoja na wengine wengi wanaungana ndani ya chama kuimarisha chama na kujenga serikali yenye nguvu.
Hawawezi fanana na walioamua kuwa wakimbizi na kwenda kuishi ughaibuni huku wakitaka madaraka Tanzania
Chama chetu Cha Mapinduzi chajenga nchi
Upinzani unahitaji watu wenye kariba ya hao niliowataja usonge mbele ,kizazi Cha lema ,lissu na Mbowe kinaurudisha nyuma sana upinzani
Watu wazima huwa hawafanyi vitu kitoto kama unavyowaza wewe. Kipindi issue ya trillion 1.5 ipo hot ,Prof.Assad aliulizwa na Rais kama kweli hazionekani akajibu sio kweli mzee. Je, hapo hakula matapishi yake mwenyewe?Bashiru kwenye mkutano mkuu alikuwa mtu wa kukubali kila kitu na alikuwa dhaifu sana.
Hakika umesema kweli. Hao ni wa
namapinduzi wa kijamaa wa kweli. Wanabeba fikra na itikadi halisia ya ccm. Itakadi yenye kulinda na kutetea umma wa wananchi. Itikadi inayodai haki na usawa kwenye uchumi.
Ndio maana nasema upinzani hauna watu wenye kutazama mbali na wenye kuvumilia hoja. Lazima mtu aelekee upepo unapovuma ili aendelee kusurvive kisiasa.Sio sasa hivi. Walishakula matapishi yao. Kitendo cha kabudi kutetea kupotea kwa Azory gwanda, na Bashiru kutetea matumizi ya dola kubaki madarakani na Polepole kutetea wizi wa Trilioni 1.5 na kuanza kupiga mahesabu kwenye TV, kumewaondoa kwenye viongozi waadilifu.
Watu wazima huwa hawafanyi vitu kitoto kama unavyowaza wewe. Kipindi issue ya trillion 1.5 ipo hot ,Prof.Assad aliulizwa na Rais kama kweli hazionekani akajibu sio kweli mzee. Je, hapo hakula matapishi yake mwenyewe?
Mtu kama Bashiru, the best political strategist the country has ever had ni mtu anayetumia akili kubwa sana
Hao ndio masalia ya Nyerere chamani,
Nyerere hakuanzisha chama Ili viongozi walambe asali wakati wananchi wanaramba shubiri.
Wavamizi ndani ya chama ndo wafurushwe, hivyo sioni sababu ya Polepole na kabudi Kutoka ndani ya CCM!!!
Huoni waliopo sasa wanavyotengeza mtandao wa wizi wa Mali za Umma Nchi nzima?
Husikii ubadhirifu Kila Kona ktk miradi ya Serikali na hawakemewi?
Huoni RUSHWA ndani ya chama jinsi wanavyohonga kupata uongozi?
Hawa waliopo ndo Hatari Kwa maslah ya nchi!!!!